Kweli Watanznia tunasafari nzito kuhusu hiki kiswahili chetu. Ni kweli kabisa lugha yetu ya kiswahili ina uhaba wa maneno ambayo yanaweza kuwa na maana halisi ya kile kinachoulizwa.
Lugha yetu kwa hivi sasa inakuwa kwa kiasi kikubwa sana kwa pande mbili tofauti. upande wa kwanza ni ule wa...
kweli watanzani tunapaswa kubadika kisiasa tuachene na sere potofu kila uchaguzi unapofika watu walewale na badotuawachagua huku ukichukulia ahadi zao ni nyingi sana hazijatekelezwa.
kwa mtu kama Freeman Mbowe mi namkubali sana ijapokuwa mi sio mwana Chadema. Tujenge Tanzania iliyotukuka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.