Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,001
- 112,646
- Thread starter
- #21
Obama amekuwa anatumia teleprompter too much. Nilidhani kwa mtu mwenye akili kama yetye angeweza kuandika main points kwenye kipande cha kikratasi na kumwaga razi kavu kavu, lakini hata kwenye town hall meeting amekuwa anatumia teleprompter.
Teleprompre inatakiwa iwe kwa ajili ya hotuba zinazotakiwa ziwe zimeshatayarishwa na wahusika wamepata nakala zake kama ilivyo kwenye congressional meetings. Lakini hii ya kuja mtaani na kuweka teleprompter inazidi kipimo sasa. Hata Bush angekuwa anatumia teleprompter kila wakati watu wasingejua kuwa ni kilaza.
Obama sio kichwa kama wapenzi wake wanavyotaka tuamini. Kichwa ni Clinton (Bill) bana. Hata mkewe naye ni kichwa. Bill ana uwezo wa kumwaga radhi bila kutumia nyenzo na watu wakakubali.