Recent content by yutu

  1. yutu

    Rasmi kocha Fadlu Davis awaaga wanasimba

    Mamluki was Simba wanachokitafuta watakipata Unaruka mkojo unaenda kukanyaga😭😭😭
  2. yutu

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

    Ukisikia paah jua unaendelea kupumua
  3. yutu

    Jakaya Kikwete, utabakia kuwa Rais mwenye hekima, mwenye akili na mzalendo

    Na huyu tulienae atakumbukwa kwa lipi?
  4. yutu

    Will I survive till the morning to see the sun? Please lord forgive me for my sins cause here I come

    Mashairi yametulia sana pac alikuwa mnyama sana😀😀😀
  5. yutu

    GE2025 Tume Uhuru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC): Polepole hana uelewa na ufahamu kuhusu mfumo wa Uchaguzi

    Huyo mkurugenzi Inawezekana akawa na uelewa na mfumo wa uchaguzi na asiye na uelewa na mfumo wa technology ambao mfumo wa uchaguzi uko ndani yake🤣🤣🤣
  6. yutu

    PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

    Nina fifa 14 Kila nikifungua nacheza play off tu siwezi cheza ligi au makombe mengine nifanyaje Ili niweze kucheza kwenye ligi cc Chief-Mkwawa
  7. yutu

    Uhamiaji Zambia walitaka kunifunga kisa kuongeza siku

    Mi nilikuwa na bahati sana sijui kwa sababu ya muonekano yaani wakinikuta kwenye gari nasafiri watapekuliwa wengine tu mi wananiacha alafu mbaya zaidi hata lugha Yao sijui (kitumbuka)
  8. yutu

    inatia simanzi: Conclusion by hon Lissu

    Kuna ID's nikiziona Huwa naruka kuzisoma😄😄😄😄🤔
  9. yutu

    Samia anaweza kuwa ndio Rais mwenye msululu wa magari mengi kwenye msafara wake kuzidi maraisi wote duniani

    Tukishapata madaraka tunajisahau sana sisi binadamu Nikikumbuka alivyokuwa mnyenyekevu niliamini tumepata rais kumbe..,.
  10. yutu

    Kisa Ubunge, Salim Kikeke adanganya mahali alipozaliwa

    Ukiwa muhongo uwe na kumbukumbu
  11. yutu

    Taja faida za kuishi peke yako ?

    Umepika ujisikii kula Umeamka zako saa 8 usiku we unakula tu
Back
Top Bottom