binafsi nape namuona nimtu wa mipasho sana ni bora akajiunge na waimbaji wa taarabu tuu tujue wazi kuwa vidole juu ni kazi yake,huwa hana point hata siku moja nadhani imani yake ya hovyo anadhani upinzani ni uhadui tena ni muongo sana eti huduma za jamii hazihitaji katiba ni zero kabisa.
yote yanayojitokeza chanzo ni wananchi waoga na watanganyika wamelala usingizi mzito wanasubiri nabii issa aje kuwahamsha nchi imejaa viongozi walafi na wananchi wenye mahaba ya kweli kwa viongozi wao hata wachapwe makofi wao mambo ni saafi.kidumu chama cha mapinduziiiiiiiii.
Tunashuhudia mapungufu mengi ya kifikra ktk bunge la katiba,tunashuhudia waziwazi wajumbe ktk kamati zile wakiweka mambo yanayowafurahisha wao na kuondoa yaliopendekezwa na wananchi mfano mbunge asiwe waziri,mbunge kuwajibishwa na wapiga kura wake kama akishindwa kutekeleza majukumu yake yote...
mahakama za tanzania zinaendesha na fikra za viongozi waliopo madarakani binafsi sina imani nazo,anaeweza kukomboa mchakato wa katiba ni wananchi wenyewe tena wanaojutambua kama wazanzibari na wala sio watanganyika waliolala usingizi mzito.
lazima uelewe kuwa ccm ndio wasio taka amani ndani ya nchi yetu kwani mnajadili rasimu ya maoni ya watu gani kama maoni ya watanzania mmeyavuruga?takwimu unazotuletea hazina mashiko punguza kuchonga kwenye media huna mpya mawazo yako ni mgando.
sina hakika kama walimu wa nchi hii kama munaweza kufanya jambo kama hilo kwani walimu mumekuwa waoga sana hamjiamini kwani nyie ndo munailea ccm zaidi ya miaka ishirini sasa ccm na serikali yake haina mapenzi na walimu nchi hii ushahidi ni pale serikali inavyoacha kutatua matatizo ya msingi kwa...
Tundu lisu ni kiongozi mwenye akili sana na huwa hakurupuki,yote aliyozungumza ana uhakika nayo na wala chama chake hakiwezi kupoteza umaarufu eti kwa kuwaekeza ukwelu viongozi wa dini na waasisi wa nchi hii kwa matendo yao yenye hisia za kibinadamu na mapenzi yao kisiasa kwani nani haoni kundi...
kwa mara ya kwanza namuona mwigulu akivaa koti la uzalendo hongera sana brother,sio siri siku zote nilikuwa na muona mwigulu wa chama cha mapinduzi kama kada halisi wa chama ambae kila wakati ni kutetea misimamo ya chama lkn kwa hili ni dalili njema kwa wanasiasa wetu kuweka maslahi ya nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.