Agustino Matefu hana hadhi ya kujibiwa na UKAWA

Greenwhich

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
1,337
Reaction score
968
Viongozi kadhaa waandamizi wa Ukawa wamekataa katakata kumjibu Augustino Matefu anayejiita Mwenyekiti wa Kikundi kinachojiita Tanzania Kwanza.

Viongozi hao walihojiwa jana kutaka kufahamu kauli yao kuhusiana na Kikundi hicho cha Tanzania Kwanza kutoa siku 7 kwa Ukawa kurudi bungeni vinginevyo ataanika siri za kupokea mabilioni kutoka nje ya nchi kwa lengo la kuvuruga amani nchini.

Viongozi wa Ukawa wamewataka wanaomtuma Augustino Matefu kutoka hadharani wazungumze wenyewe na siyo kumtuma mtu tapeli asiyejua hata kusoma taarifa aliyoandikiwa kuisoma.

"Wananchi watatupuuza sana kumjibu mtu asiyejua hata kusoma alichoandikiwa na mabwana zake,tunamtaka awaambie hao waliomtuma wajitokeze wenyewe kama watathubutu" alisema mmoja wa viongozi waandamizi wa Ukawa.

Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA unaungwa mkono na idadi kubwa ya wananchi wanaoamini mapendekezo yao juu ya Rasimu ya Katiba yametupwa na CCM

Wataalamu naombeni msaada. Hivi, sheria inayosimamia uandishi wa katiba mpya, haijastipulate sifa za mtu ku qualify kuwa mjumbe wa BMK? Kama kweli sheria imekaa kimya kwamba kila mtu anaweza kuingia kwenye bunge maalum la katiba, basi hii biashara haiko timamu.

Ni jambo la kushangaza sana, ikiwa watu wanaotuandikia katiba wanaweza kuficha siri ya waandishi wenzao walionunuliwa ili wavuruge amani nchini bila kutilia shaka hata michango yao kwenye uandishi wa katiba.

Sifahamu hilo genge lililoko Dodoma litajitofautishaje katika usafi wa nia na dhamira kwa wananchi na watuhumiwa wake UKAWA. Kwa kufumbia macho jambo hilo, ni dhahiri genge hilo blimekubuhu katika maovu na hujuma kwa wananchi na limejaa makando kando mengi sana ambayo kama sheria ingesema na kufuatwa, basi wasingekuweko kwenye BMK.

Kama UKAWA wamekula rushwa ili kuvuruga amani, kwa nini ccm na serikali inazidi kusisitiza warudi bungeni? iHilo genge la wahuni kule dodoma, linauhakika gani, huko kuvuruga amani kwa UKAWA, hakutafanyika kwa kupitia uwepo wao bungeni?

Kurudi Bungeni kwa UKAWA, kunatangua vipi mikataba waliyonayo ya kuvuruga amani nchini?

Jamani, Watanzania amkeni muone hila za ccm na serikali yake za kusema uwongo kila siku na kuwabambikiza watu waneno ya kutunga ili kuwafool Watanzania.

Are we that much stupid to believe such a typical fabricated story? Hivi ndiyo wamekaa wanatunga katiba ya uwongo na huku wakitunga uwongowa kuwachafua UKAWA kwa hadhith za kipumbavu namna hii?

Usalama wa taifa wanafanya nini hadi mabilioni yanaingia nchini hawachukui hatua? Jamani ccm uwongo wtenu utawachoma moto mkiwa hai hapa hapa duniani.
 
Matefu namfahamu huyo dogo,ni kichwa nazi,nilisoma naye pugu mimi nikiwa advance yeye o-level,,ana ugonjwa wa akili mpuuzeni,mkitaka kuamini,muulizeni mwl mmoja wa pugu anaitwa ogesa kama bado yupo au headmaster wa wakati ule mzee shelimo sa hivi naskia huyu shelimo ni DEO kitu kama temeke
 
Huyu matefu ni mchumia tumbo, namfahamu vizuri tangu anasoma pugu. Amekuwa akitumika sana na ccm sehemu mbalimbali. Hana akili kwa ufupi
 
Umeona cloud computing,,enzi zile anajiita skauti akaja akafeli mtihani wa form two cjui alimalizaje form four
 
Matefu namfahamu huyo dogo,ni kichwa nazi,nilisoma naye pugu mimi nikiwa advance yeye o-level,,ana ugonjwa wa akili mpuuzeni,mkitaka kuamini,muulizeni mwl mmoja wa pugu anaitwa ogesa kama bado yupo au headmaster wa wakati ule mzee shelimo sa hivi naskia huyu shelimo ni DEO kitu kama temeke

Binafsi nilimsikiliza jana na nikajiridhisha ni kichaa..
 
Na mimi nataka kuita kapuressi conferessi(press conference) natakakujua vigezo!
 
sio muda wa kupumbaza wa tanzania tena tupo makini mbinu zite za zerikali ya kibabaishaji ya ccm zitagonga mwamba tu UKAWA TUNASONGA MBELE DAIMA
 
Umeona cloud computing,,enzi zile anajiita skauti akaja akafeli mtihani wa form two cjui alimalizaje form four

Alirudia tena form two, akafeli vibaya sana form four . Baada ya hapo akawa katib mwenez wa kata ccm. Then nikaanza kumuona akitumika sehem mbalimbali na identity tofauti tofauti.
 
Matefu namfahamu huyo dogo,ni kichwa nazi,nilisoma naye pugu mimi nikiwa advance yeye o-level,,ana ugonjwa wa akili mpuuzeni,mkitaka kuamini,muulizeni mwl mmoja wa pugu anaitwa ogesa kama bado yupo au headmaster wa wakati ule mzee shelimo sa hivi naskia huyu shelimo ni DEO kitu kama temeke

Hahahahaa mkuu mie pia nimesoma pugu na huyu sogo matefu akiwa o level namfahamu sana anamatatizo ya kujielewa ulikuwa pcb,pcm au egm mie nilikuwa egm 5a then 6a
 
Wataalamu naombeni msaada. Hivi, sheria inayosimamia uandishi wa katiba mpya, haijastipulate sifa za mtu ku qualify kuwa mjumbe wa BMK? Kama kweli sheria imekaa kimya kwamba kila mtu anaweza kuingia kwenye bunge maalum la katiba, basi hii biashara haiko timamu.

Ni jambo la kushangaza sana, ikiwa watu wanaotuandikia katiba wanaweza kuficha siri ya waandishi wenzao walionunuliwa ili wavuruge amani nchini bila kutilia shaka hata michango yao kwenye uandishi wa katiba.

Sifahamu hilo genge lililoko Dodoma litajitofautishaje katika usafi wa nia na dhamira kwa wananchi na watuhumiwa wake UKAWA. Kwa kufumbia macho jambo hilo, ni dhahiri genge hilo blimekubuhu katika maovu na hujuma kwa wananchi na limejaa makando kando mengi sana ambayo kama sheria ingesema na kufuatwa, basi wasingekuweko kwenye BMK.

Kama UKAWA wamekula rushwa ili kuvuruga amani, kwa nini ccm na serikali inazidi kusisitiza warudi bungeni? iHilo genge la wahuni kule dodoma, linauhakika gani, huko kuvuruga amani kwa UKAWA, hakutafanyika kwa kupitia uwepo wao bungeni?

Kurudi Bungeni kwa UKAWA, kunatangua vipi mikataba waliyonayo ya kuvuruga amani nchini?

Jamani, Watanzania amkeni muone hila za ccm na serikali yake za kusema uwongo kila siku na kuwabambikiza watu waneno ya kutunga ili kuwafool Watanzania.

Are we that much stupid to believe such a typical fabricated story? Hivi ndiyo wamekaa wanatunga katiba ya uwongo na huku wakitunga uwongowa kuwachafua UKAWA kwa hadhith za kipumbavu namna hii?

Usalama wa taifa wanafanya nini hadi mabilioni yanaingia nchini hawachukui hatua? Jamani ccm uwongo wtenu utawachoma moto mkiwa hai hapa hapa duniani.

Viongozi kadhaa waandamizi wa Ukawa wamekataa katakata kumjibu Augustino Matefu anayejiita Mwenyekiti wa Kikundi kinachojiita Tanzania Kwanza.

Viongozi hao walihojiwa jana kutaka kufahamu kauli yao kuhusiana na Kikundi hicho cha Tanzania Kwanza kutoa siku 7 kwa Ukawa kurudi bungeni vinginevyo ataanika siri za kupokea mabilioni kutoka nje ya nchi kwa lengo la kuvuruga amani nchini.

Viongozi wa Ukawa wamewataka wanaomtuma Augustino Matefu kutoka hadharani wazungumze wenyewe na siyo kumtuma mtu tapeli asiyejua hata kusoma taarifa aliyoandikiwa kuisoma.

"Wananchi watatupuuza sana kumjibu mtu asiyejua hata kusoma alichoandikiwa na mabwana zake,tunamtaka awaambie hao waliomtuma wajitokeze wenyewe kama watathubutu" alisema mmoja wa viongozi waandamizi wa Ukawa.

Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA unaungwa mkono na idadi kubwa ya wananchi wanaoamini mapendekezo yao juu ya Rasimu ya Katiba yametupwa na CCM
 
Tabby;
Umesema kitu mpaka nasisimka. Naomba nikukoti kidogo;

Ni jambo la kushangaza sana, ikiwa watu wanaotuandikia katiba wanaweza kuficha siri ya waandishi wenzao walionunuliwa ili wavuruge amani nchini.

Sifahamu hilo genge lililoko Dodoma litajitofautishaje katika usafi wa nia na dhamira kwa wananchi, ikiwa watakuwa wameweza kufumbia macho jambo kama hilo na kuliona ni la kawaida basi genge hilo bila shaka limekubuhu katika maovu na hujuma kwa wananchi.

Kitu nisichokiamini, ni kwa nini hili genge lililoka Dodoma, linazidi kusisitiza kwa namna mbali mbali kwamba UKAWA warudi bungeni, ikiwa lina uhakika wamepewe mabilioni kuvuruga amani nchini? Hilo genge la wahuni kule dodoma, linauhakika gani, huko kuvuruga amani kwa UKAWA, hakutafanyika kwa kuandika katiba mbovu ikiwa Watarudi bungeni?

Mtambo wa propaganda za ccm unampa mtu yeyote yule kusema neno la kuwavuruga Watanzania. Swali ni Je, vyombo vyote vya dola pamoja na Usalama wa Taifa hili Tukufu ndiyo wamekufa au wameshaondoka kazini mpaka haya yanatokea?
Ni mtu gani ataweza kutuambia hivyo vyombo havija nunuliwa na vipo mifukoni mwa watu flani kama watasikia majitu ka Matefu yakinguruma mitaani kuwa yana siri kubwa hivi za kuvurugwa Amani yetu nao wakawaacha tu ati kwa kuwa ni mtu wa ccm ameyasema hayo??? Shame on yu TISS, Shame on yu IGP. Tumeamini kuwa -----------.
Msinichukie ni hasira yangu tuuu
 
Wataalamu naombeni msaada. Hivi, sheria inayosimamia uandishi wa katiba mpya, haijastipulate sifa za mtu ku qualify kuwa mjumbe wa BMK? Kama kweli sheria imekaa kimya kwamba kila mtu anaweza kuingia kwenye bunge maalum la katiba, basi hii biashara haiko timamu.

Ni jambo la kushangaza sana, ikiwa watu wanaotuandikia katiba wanaweza kuficha siri ya waandishi wenzao walionunuliwa ili wavuruge amani nchini bila kutilia shaka hata michango yao kwenye uandishi wa katiba.

Sifahamu hilo genge lililoko Dodoma litajitofautishaje katika usafi wa nia na dhamira kwa wananchi na watuhumiwa wake UKAWA. Kwa kufumbia macho jambo hilo, ni dhahiri genge hilo blimekubuhu katika maovu na hujuma kwa wananchi na limejaa makando kando mengi sana ambayo kama sheria ingesema na kufuatwa, basi wasingekuweko kwenye BMK.

Kama UKAWA wamekula rushwa ili kuvuruga amani, kwa nini ccm na serikali inazidi kusisitiza warudi bungeni? iHilo genge la wahuni kule dodoma, linauhakika gani, huko kuvuruga amani kwa UKAWA, hakutafanyika kwa kupitia uwepo wao bungeni?

Kurudi Bungeni kwa UKAWA, kunatangua vipi mikataba waliyonayo ya kuvuruga amani nchini?

Jamani, Watanzania amkeni muone hila za ccm na serikali yake za kusema uwongo kila siku na kuwabambikiza watu waneno ya kutunga ili kuwafool Watanzania.

Are we that much stupid to believe such a typical fabricated story? Hivi ndiyo wamekaa wanatunga katiba ya uwongo na huku wakitunga uwongowa kuwachafua UKAWA kwa hadhith za kipumbavu namna hii?

Usalama wa taifa wanafanya nini hadi mabilioni yanaingia nchini hawachukui hatua? Jamani ccm uwongo wtenu utawachoma moto mkiwa hai hapa hapa duniani.

Mkuu umemaliza kila kitu
 
Matefu namfahamu huyo dogo,ni kichwa nazi,nilisoma naye pugu mimi nikiwa advance yeye o-level,,ana ugonjwa wa akili mpuuzeni,mkitaka kuamini,muulizeni mwl mmoja wa pugu anaitwa ogesa kama bado yupo au headmaster wa wakati ule mzee shelimo sa hivi naskia huyu shelimo ni DEO kitu kama temeke

Shilimo yupo tanga siku hizi mkuu
 
Wanaudhi sana kiongozi. Inaonyesha ni kwango gani wanatudharau uelewa wa Watanzania. Inachukiza kwa kweli.

Back
Top Bottom