yusufu pongwa
Member
- Jul 24, 2014
- 16
- 2
Tunashuhudia mapungufu mengi ya kifikra ktk bunge la katiba,tunashuhudia waziwazi wajumbe ktk kamati zile wakiweka mambo yanayowafurahisha wao na kuondoa yaliopendekezwa na wananchi mfano mbunge asiwe waziri,mbunge kuwajibishwa na wapiga kura wake kama akishindwa kutekeleza majukumu yake yote hayo hawayapendi waheshimiwa wale wengi.
Lakini hatuwezi kulaumu wale kwani hawajajipeleka wenyewe kuwa wawakilishi, mliwachagua wenyewe tena kwa mbwembwe nyingi mkiwaanini sana so msilalamike tulieni na muyapokee matunda yao wawakilishi wenu, tupunguze malalamiko tusubiri muda wa kufanya maamuzi juu yao na kile wanaho kiandaa,msikwepe kupigia kura katiba ile ikiletwa kwenu,msijifanye mko bize siku za kuipigia kura kama mnavyokuwa bize kwenye uchaguzi mkuu!hamjitokezi tena wengi tu wengine ni wasomi hata kadi za kupigia kura hamna!watanzania tuache kulalamika tuchukue hatua kwani hamna anaesikiliza malakamiko yenu wameziba masikio wanapanga yao mjengoni.