Ila naamini sasa waandishi wa Tanzania hawana thamani. Kweli mmekalishwa na kuambiwa huu upuuuuuuzi. Mkaondoka kwenda kuusambaza? Au ni kweli mnapewa bahasha? Amkeni thamani yenu iko wapi? Ajabu mmeshindwa hata kumuuliza hivyo vifungu vingine wanajadili kwa mfumo wa serikali ngapi au vya seeikali ipi? Maana mfumo wa serikali haujapitishwa kwa kupigiwa kura. What if mwisho waliotaka serikali tatu wakawa wengi na katiba mmetengeza kwa matakwa ya ccm ya serikali mbili? Waandishi nyie ndio mnawalea hawa vilaza kila kukucha waawaiteni saana maana hamjitambui,