Neggirl huyo ni mwenda wazimu kabisa. Yaani umenipre empty yoote niliyotaka kumwambia mshenzi huyo. Unaweza ukapata division one lakini ukapenda kuwa mtangazaji na ukaamua kuusikiliza moyo...
Hata mimi niliwahi kusikia kuhusu dawa ya kuonja dudu ya mwanaume tu, huwa wanaacha. Bt ni ngumu kumwanbia binti yako akalale na mwanaume kwa sababu ya dawa kwa kuwa ni kama unamfundisha kuwajua wanaume banaaaaa!
we kinyoba, if you have not staretd this, i'd advice you not to try this at home or at school. It is very dangerous. Coz ukiishaanza hii mambo ujue ndo unaitangazia mauti ndoa yako. jamani, kuna vya ku share lakini sio mapenz kwa kweli.
menny terry, mwisho wa kudoo ni pale mama anapojisikia uchungu, tena kwa kuendelea kufanya tendo hilo lenye utam wa pekee humsaidia mama kufunguka njia ya kupitia mtoto mara uchungu umuanzapo. Ila nakushauri uangalie na hali ya mama pia, sababu mimba nyingine humfanya mama kuwa na wakati mgumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.