JK Amteua Mjomba wa Vicky Kamata kuwa Mkuu wa Mkoa Mwanza

Status
Not open for further replies.
GreatThinkers,
Filamu anazocheza Jk ni zile zile ingawa zina Title tofauti. Ni kweli Mh. Ndikilo mkuu mpya wa mkoa wa Mwanza ni Mjomba wa Vicky Kamata ushahidi ninao

Sijajua ni kwa nini mbinu hii chafu anaiendekeza, leo hii naandika nikiwa Nairobi-Kitongoji cha Makadara.
Nikitua Bandari ya Salama itabidi nandike bango pale Magogoni ili akilisoma anijibu kupitia hotuba zake mwisho wa mwezi anazotayarishiwa na Mwimbaji wa Taarabu.
Nawasilisha.

ulitaka amteue RAIS WA MASHAROBARO AU DIAMOND AWE MKUU WA MKOA???KAMA PENZI ANATOA VICKY KWA NINI NDUGU WASILE MATUNDA YAKE BANA NA WEWE TAFUTA NDUGU NAE AKALE MEMA YA NCHI KAMA ATVUMILIA
 
je angemteua Kaka yako? Ungeongea? Hizo ni chuki zilizopitiliza kiasi. Hata kama una ushaidi ni mjomba wake,ilo halituhusu wa-tz,tunachohitaji ni utendaji kazi. Hatutaki kujua mahusiano ya watu.

ulitaka amteue RAIS WA MASHAROBARO AU DIAMOND AWE MKUU WA MKOA???KAMA PENZI ANATOA VICKY KWA NINI NDUGU WASILE MATUNDA YAKE BANA NA WEWE TAFUTA NDUGU NAE AKALE MEMA YA NCHI KAMA ATVUMILIA
Mnataka tuivumilie Nepotism kwenye siasa za Tanzania?
 
vyovyote itakavyokuwa uteuzi huu aloufanya jeyikei ni wa kirafi zaidi,tena kumbe ni wa mkwe sana,unategemea kuna kazi hapo?angalia kina mwananzila,kin bendera,na kuna taarifa zisizo rasmi kwamba amepanga safu yake itakayo msaidia kuvunja nguvu za upande asioutaka yeye kwa 2015,ila ya mkwe tena hapo ndo naipata leo,ila kwa mchezo wa mkuu wa kaya wala hilo halimpi shida,ila siku zinahesabika na kwa wale wote tunaopinga mambo haya,tujiandae kwa 2015,kwa kuielimisha jamii ya wenye macho lakini hawaoini,wana masikio lkn hawasikii.
hakuna kulala mpaka kieleweke
 
Haishangazi kama uteuzi wa mkoa wa Mwanza kigezo chake ni kulipa fadhila kwani mkweree ni mtu wa visasi pia!! Mkweree hawapendi watu wa kutoka MBEYA kwa sababu walimuunga mkono Mwandosya mwaka 2005 na sio kwasababu walimpopoa na mawe!!
 
mh? kwa stahili hiyo sijui kama tutafika
huyo ni mjomba bado shangazi,baba mdogo,dada binamu,kaka binamu,bamkubwa,mama mdogo,mama mkubwa.
kazi kwelikweli.....................
 
Jk alikwisha tutonya ya kuwa ukitaka ule lazima uliwe.......................yeye aliliwa na sasa anakula.................Kamata alitaka kula kwahiyo JK akamla mtoto wa watu na sasa hivi ni mchovu bin taabani.......................................waache wafu wazike wafu wenzao..............
 
Great Thinkers!
Kwani kuna uhusiano gani kati Vicky na Mzee wa Bungalow hadi uncle akawa RC?
 
GreatThinkers,
Filamu anazocheza Jk ni zile zile ingawa zina Title tofauti. Ni kweli Mh. Ndikilo mkuu mpya wa mkoa wa Mwanza ni Mjomba wa Vicky Kamata ushahidi ninao

Sijajua ni kwa nini mbinu hii chafu anaiendekeza, leo hii naandika nikiwa Nairobi-Kitongoji cha Makadara.
Nikitua Bandari ya Salama itabidi nandike bango pale Magogoni ili akilisoma anijibu kupitia hotuba zake mwisho wa mwezi anazotayarishiwa na Mwimbaji wa Taarabu.
Nawasilisha.

Natoa Tamko: Ma-wivu tuyaache.. Mawivu ni mavidonda, ukiyashiriki utakondaga..
 
Inauma sana kupata taarifa kama hiyo.
Ikiwa anaweza kumpatia ukuu wa mkoa hivi anashindwa kuwatoa wakina Papikocha.
Kama ni mapenzi kwani hajawahi gombana na vicky?
Na mbona vicky yuko na mpenzi wake mbona anakubali kushare na hamfungi?
Huyu jamaa kila speech yake anatabasam usoni rohombaya iko moyoni.
 
Haswaaaaaaaaaaaaaaaa.......................,
hivi yule mamamkwe aliyekuwa waziri wa wizara fulani hv naona ss hivi amekosa uwaziri
au kapumzishwa kidogo
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom