Halooo haloo walisema aolewi mbona kaolewa walisema haao mbona ameoa mwana jf huyo!!ndani ya ndoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Halooo haloo walisema aolewi mbona kaolewa walisema haao mbona ameoa mwana jf huyo!!ndani ya ndoa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Oct 18, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,613
  Likes Received: 5,782
  Trophy Points: 280
  Manuel Uribe jitu la nusu tani [​IMG] Mwanaume mzito kuliko wanaume wote duniani (guinness record) mwenye uzito wa Kg 560, nusu tani (88 stone) Manuel Uribe (43) amemuoa rafiki yake wa kike Caludia Solis (38) mbele ya mashahidi 400 huko mexico katika mji wa Monterrey tarehe 26 octoba 2008.

  Bibi na Bwana wakifurahia jambo[​IMG] Manuel alikutana na binti mrembo Claudia tangu mwaka 2006 na tangu akutane na huyu mwanamke kwa pamoja wamesaidiana kuhakikisha manuel anapunguza uzito na amejitahidi kupunguza Kg 250 (39 stones) rekodi ambayo inaweza kumuweka tena kwenye kitabu cha guinness kwa kupunguza uzito mkubwa.

  Picha chini Bibi harusi Claudia Solis siku ya harusi[​IMG] Manuel alibubujikwa na machozi pale msajili alipotamka kwamba wao sasa ni mume na mke.
  Na hakusita kutamka maneno haya huku akibubujikwa na machozi
  “Nimefurahi sana leo ni siku yangu maalumu Mungu ameruhusu siku nzuri kama hii mimi na mrembo Claudia kuoana”.
  Huyu bwana hajawahi kutoka kindani mwaka kwa miaka 6 mfululizo na harusi yake ilifanyika kitandani baada ya kubebwa kuelekea sehemu ya harusi na gari la kuvuta.
  Pia harusi yao imekuwa documented na Discovery Channnel

  Inawezekana umenenepa au kuwa mwambamba sana au hali yoyote ile na imepelekea usijiamiini kwamba huwezi kuoa au kuolewa, hayo ni mawazo potofu, bado kuna mtu anakupenda duniani ni wewe tu.
  Ukweli unabaki kwamba kuna mwanamke yupo kwa mwanaume yoyote bila kujali ni mnene kiasi gain, mwembamba kiasi gani au kilema kiasi gain, au sura mbaya kiasi gain, upendo wa kweli ukiwa kazini hakuna lisilowezekana.

  Picha chini maharusi wakibusiana siku ya harusi yao[​IMG] "It goes to show you it is not the size of the nail that counts, it is the size of the hammer".

  Source: http://news.bbc.co.uk/2/hi/americas/7692672.stm


   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,613
  Likes Received: 5,782
  Trophy Points: 280
  Yawzekaana umekataliwa na wanawake wengi wazuri unaowapenda sababu ya uzito aijalishi ulivyo mapenzi ufwwata nkondo ikifika wakati akuna awewzaye kuyaondoa basi zamu yako ikifika utafurahi kama mh wa jf hapo juu usikate tamaa uitaji kunywa sana konyagi kukata tumbo ama kuwa hodari kitandan unaitaji kupenda na wewe upendwe ipo siku alie wako atakuja alipofichwa
   
 3. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Kila mtu na mtuwe kwa kweli..........mweeeh!!!
   
 4. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  lohh hii kali watapeanaje chakula cha usiku?
   
 5. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  haaah haaah
  mkuu hii mambo haina unene mkuu ile chakula italiwa tu.
   
 6. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Love is blind... but can smell money a mile away!
   
 7. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  And fame! I mean l can smell fame too!

  Ila huwezi jua, labda huruma imechukua nafasi, si unajua sisi wanawake. Hata kwetu, wanawake wengi huolewa na vipofu, viwete n.k lkn ni wanaume wachache huoa phisically challenged women.

  Au amemfanya project yake (kuhakikisha anarudi ktk normal weight) again ni sifa ya wanawake, unaolewa na lilevi la vyote gongo, bangi na etc, hoping utalibadilisha!
   
 8. MADAM T

  MADAM T JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,675
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  Hilo nalo neno
   
 9. y

  yusra Member

  #9
  Oct 19, 2011
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umeona eeeh!
   
Loading...