Kitabu cha shetani na shetani akajilani kwenye kitabu chake mwenyewe 🤔🤔 akajisema kwa ubaya wake akawafahamisha waislamu jinsi ya kujikinga naye katika kitabu chake mwenyewe.
Hii ni maajabu
Mpe talaka yake usijifanye hujasikia heri muwe na ugomvi halafu adai talaka unaweza ukavunga ila ukiona mwanamke anadai talaka na haujamkera kivile bora umpe maana tukio atakalokuchapa nalo hautakaa sawa tena
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.