Recent content by Yule boi

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kujiendeleza kozi ya nursing

    Dah wasomi wanakatisha tamaa sana yani sio ajira sio mkopo sio mazingira yani vyote xhda tu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kujiendeleza kozi ya nursing

    Mh bora nimepita huku nimeelewa hata siendi tena shule nilichokipata form four kinisaidie tu kupanga vitu kichwani nisilale njaa Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa bunduki kwenye vituo vya mitihani

    Mkuu yani unapoingia kufanya pepa wewe tayari ni mheshimiwa ko lazima bodyguard awepo kulinda usalama wako make taifa linaimarisha ulinzi kwa zao lake tegemewa coz inasemekana wew ndo unatakiwa kuwa kiongoz bora baada ya hapo! Closed Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwalimu Wa kijerumani

    Dah mmenikumbusha kuna mkuu msaidizi wa shule fulani niliposoma advance yani anapenda sana kuongeza "h" hadi maana ya neno inaharibika kabisa.ukisikiliza speech yake kiukweli kama una njaa unaweza kulia.jamaa katoka kwa akina ebitoke Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Y

    JamiiForums Tanzania MKOPO DIPLOMA

    Tanx
  6. Y

    JamiiForums Tanzania MKOPO DIPLOMA

    Na zile tetes mtandaon kwamb helsb walitaka kutoa mkop then wakapga chini walilenga diploma gani
  7. Y

    JamiiForums Tanzania MKOPO DIPLOMA

    Wapi
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    [emoji3][emoji3] watu wa dizaini yako mnawatesaga Sana jamaa wanao burn music kwa kompyuta
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Miaka 35 huna familia, gari, nyumba wala mashamba... Unategemea miujiza gani kutoka Mbinguni?

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mkuu hata nguo huna
  10. Y

    JamiiForums Tanzania MKOPO DIPLOMA

    Thanks mkuu
  11. Y

    JamiiForums Tanzania MKOPO DIPLOMA

    Wakuu naomba msaada eti zile fununu za diploma kupewa mkopo walimaanisha ni kwa diploma wanaoenda degree au wanaoanza diploma?? Naomba kusaidiwa
  12. Y

    JamiiForums Tanzania KUFUNGA LAINI YA SIMU ISIPATIKANE.

    zima simu[emoji3][emoji3][emoji3]
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Eti huku JamiiForums mbona kila mtu ni mkuu! Mna maana gani?

    Chuo [emoji16][emoji16][emoji16]
Back
Top Bottom