Je, kwa vigezo hivi naweza kusoma kozi gani ya afya au uhandisi?

airwing

JF-Expert Member
Dec 8, 2017
305
396
Nilisoma o level nikamliza mwaka 2014 lakn nilifeli sikubahatika kuendelea.. 2015 nilirisiti sikupat credit hata moja hali ikawa hvyhvy 2016 nilipata D moja ya Kiswahili, 2017 nikarisiti tena nikapat, Hisory C, Geo C, Englsh C, Bio D, Math D, Phy D, kisw C, Je , kwa vigezo hvy naweza kusoma course gn ya Afya? Au ya injinia?
 
Nimependa tu unavyoutendea haki msemo wa "never say never".
hapo chemistry nikama inakuwa kikwazo, lakini course kama community health unapata.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom