ndaga boy mtemi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 589
- 208
kuna code nilitumiwa humu humu ile nikipigiwa inakata ukituma meseji haiingi ila mm napiga fresh tu
Nasisi tutumiekuna code nilitumiwa humu humu ile nikipigiwa inakata ukituma meseji haiingi ila mm napiga fresh tu
Unatumia kama kawaida tu,hadi kupiga na kutuma sms inakubaliHivi ukifanya hvi naweza endelea kutumia internet kama kawaida?
Ila ndo unakua hupatikani eeUnatumia kama kawaida tu,hadi kupiga na kutuma sms inakubali
Kama una namba ya ziada ambayo huitumii Fanya kuidaivet na hakikisha ile line haimo kwenye simu. Code hii hapa *21*namba ya ziada # then OK umemaliza.Ila ndo unakua hupatikani ee
shukraniKama una namba ya ziada ambayo huitumii Fanya kuidaivet na hakikisha ile line haimo kwenye simu. Code hii hapa *21*namba ya ziada # then OK umemaliza.
Ila ndo unakua hupatikani ee
Kujitoa unafanyaje?Kama una namba ya ziada ambayo huitumii Fanya kuidaivet na hakikisha ile line haimo kwenye simu. Code hii hapa *21*namba ya ziada # then OK umemaliza.
##002#Kujitoa unafanyaje?
Noted!##002#