Tanayzer
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 3,005
- 7,403
Mkuu sema haujafika juu zaidi... Ila tumesoma structure na escort ya mitihani ya taifa....yani ndiyo hatari kuliko hata hizo bunduki unazoziona maana escort inahusisha maafisa wa usalama ngazi za juu mfano RPC na wengine wakiongozwa na askari WA usalama wa taifa ambae huwa anafikisha taarifa kila kinachoendelea