Recent content by Yukina

  1. Yukina

    Tatizo la Mirija ya Uzazi kuziba: Changamoto na tiba yake

    Mirija inazibuliwa na uwezekano wa kupata mtoto ni mkubwa kuliko IVF mimi nilizibuliwa mirija na sasa nina watoto usiogope operation haiumi nenda Muhimbili wakawaone mapingwa wa akina mama utasaidiwa
  2. Yukina

    Siku zangu za hidhi kusumbua

    Mimi ni binti wa miaka 20 nimekua na tatizo kutopata siku zangu kwa miezi 4 sasa na nikashauriwa kupima Hormones na nikapewa dawa ! Ajabu ni kwamba baada ya kutumia dawa nimepata siku zangu za hedhi kwa miezi 2 na mwezi uliofutaia zikaja kidogo sana kwa siku 1 tu ya pili zikapotea je tatizo ni...
  3. Yukina

    University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

    UDSM ni chuo kikubwa sana na hakistahili kufanya haya ,nimeshangazwa sana tena sana kama Mzazi hivi chuo kama UDSM ambacho tulitegemea kua Walimu wako makini kumbe na wao pia wanatengeneza mazingira ya rushwa!! Nakumbuka marehemu Rais wetu Aliwahi kuwaasa walimu kuacha kutengeneza mazingiro ya...
  4. Yukina

    University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

    Naomba kuuliza, TCU ilitoa fursa kwa wale wa Mwaka wa kwanza kubadilisha Program zao kwa wanaotaka, hadi leo hakuna majibu na Masomo yanaendelea , hivi kweli yatakapotoka huko anakotoka kuhamia ataweza kuyaelewa kama hakuanzi program mwanzoni na ni Kwanini UDSM haitoi majina ili wanaotaka kuhama...
  5. Yukina

    Uchaguzi 2020 Askofu Mwingira: Lissu ni mshindi, hajajenga flyover wala reli. Watu wanamfuata

    Haitusumbui hao wamekwenda kutafuta ubwabwa tu
  6. Yukina

    Uchaguzi 2020 "Magufuli Afeli Kabla ya Kuanza:Hajui atakalo:"watanganyika walalama

    Hivi ujui kazi yeyote ina utani ndani yake na kwa uziefu wangu wale wanaojifanya watakatifu kama wewe ndiyo hasa wabaya na wanafki sisi tunamwelewa Mwenyekiti Hoyeeee .
  7. Yukina

    Tundu Lissu: Tunasikia taarifa watu wanakufa kwa Corona lakini haisemwi wazi. Serikali imerekebisha Sheria inayozuia kupeana taarifa

    Watanzania tunataka maendeleo ya nchi yetu na tumeanza kuyaona huyo Tundulisso hatujaona alichowafanyia Watanzania nyie hamna macho mnakwama wapi??
  8. Yukina

    Vyumba na hostel za nje kwa vyuo vya UDSM, NIT, Water Institute na Ardhi University

    [QUOTE="Yukina, post: 36160757, member: 413381wazazi tumeelewa kumbe !!
  9. Yukina

    Ahsante sana mama mkwe

    Mhhh uongo live nanni akupe mwanae Kwan kwa ulaini hivyo acha wenge.
  10. Yukina

    8 Mistakes of African Men in Marriage

    Jamani huyu mtoa mada amesema kweli na namkubali 100% ndiyo walivyo hakuna Alichoongoopa wanaume badilikeni !! Nimekupenda mwandishi.
  11. Yukina

    Mke wangu kisirani, anakataa unyumba. Msaada tafadhali

    Uwezi kukaa na Mwanamke wa namna hii kwenye ndoa miaka yote achana naye utakavyozidi kukaa naye na mateso yatazidi, Mtoto utampelekea matunzo huko kwao
  12. Yukina

    Nimefanya mapenzi na mama mkwe wangu na kumpa ujauzito

    Mbona hutoi number za mkweo bado mnaendeleza kutunza mimba !!
  13. Yukina

    Wakuu vipi kuhusu kuongeza urefu wa uume kama ni mfupi kuna tatizo?

    Poleni sara mnarefusha alafu baadae zinapinda zinaleta shida kuingia zimepinda haazina nguvu hata ladha hakuna fikirieni kabla ya kutenda mnakurupuka sana
Back
Top Bottom