Mjuzi Wenu
Senior Member
- Nov 18, 2017
- 108
- 100
Kutokana na maswali mengi kwa wanafunzi wanaotarajia kuanza vyuo mbali katika jiji la Dar es salaam watakaotafuta hostel za nje pamoja na vyumba kwa wale wote watakaokosa au kutohitaji hostel za chuoni hivyo nimeona nije kutoa msaada kwa wanafunzi wenzangu hususani kwa wale watokao mikoani ili kuepuka usumbufu mbalimbali utakaopelekea kupoteza baadhi ya vitu vyao, hivyo basi vyumba na hostel za nje vinapatikana karibu na mazingira ya vyuo vilivyotajwa hapo juu nina uzoefu wa miaka mitatu katika mazingira ya vyuo vifuatavyo
- UDSM
- NIT
- Water Institute
- Ardhi University
Nakaribisha wanafunzi wote watakaohitaji.
Pia nakaribisha maswali mengine yanayohusiana na vyuo.
- UDSM
- NIT
- Water Institute
- Ardhi University
Nakaribisha wanafunzi wote watakaohitaji.
Pia nakaribisha maswali mengine yanayohusiana na vyuo.