Recent content by yuclighty

  1. yuclighty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia za wanaume kutoka makabila haya 20

    Aaah wapi jamani ni woga sana ingawa na umalaya wanao. Kuna mmoja alinitongoza kwa woga sana, yaani ikifika saa tatu eti mimi nalala naogopa. Kha!!
  2. yuclighty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakati unaachwa ulipewa sababu gani?

    🤣🤣🤣🤣🤣
  3. yuclighty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakati unaachwa ulipewa sababu gani?

  4. yuclighty

    JamiiForums Tanzania Forex imenifilisi, naomba ushauri wa biashara ya kufanya kwa mtaji huu

    kuna biashara ningekushauri lkini kwa experience hiyo ngoja kwanza
  5. yuclighty

    JamiiForums Tanzania Nani adui wa vijana katika Kujiajiri. Ni Uthubutu, Serikali, au Malezi na Mazingira?

    Tatizo ni uthubutu tu!. Watu wanashindwa kuchukua hatua katika maamuzi mengine kama biashara, kilimo nk. Wanachotaka ni ajira tu. Pooole kijana mwenzangu.
  6. yuclighty

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye huruma tu! Nahitaji ajira niweze kuishi

    Katika jukwa hilihili kuna mtu aliweka uzi wa kutafuta watu wanaoweza kufanya kazi yoyote, jaribu kuutafuta. Sent from my iPhone using JamiiForums
  7. yuclighty

    JamiiForums Tanzania Naombeni Kazi wana Jf

    Tatizo unachagua kazi, wewe sema unaomba kazi yoyote maana zingine hazihitaji ujuzi Sent from my iPhone using JamiiForums
  8. yuclighty

    JamiiForums Tanzania Mijadala ya Mawazo na Michanganuo mbalimbali ya Biashara na Uchumi kwa Ujumla

    Ukikanusha utoe na mbadala wake kwa muhitaji, kama ni utapeli muajiri basi au mpe mbinu nyingine. Sent from my iPhone using JamiiForums
  9. yuclighty

    JamiiForums Tanzania Kula ki masihara kulivyo nisababishia maumivu yasiyo pona no.1

    Hadithi bwana Sent using Jamii Forums mobile app
  10. yuclighty

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina shahada ya Mass Communications in Public Relations and Marketing

    Yah mdogomdogo Sent using Jamii Forums mobile app
  11. yuclighty

    JamiiForums Tanzania Ushauri jamani bandugu

    🤣🤣 Sent using Jamii Forums mobile app
  12. yuclighty

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya matangazo ya kazi humu awamu hii na ile iliyopita

    🤣🤣🤣, bora ilo la kuuliza ni biashara gani kwa ntakujuza wa laki moja, Jamani kazi kazi kaaaaazi ni kazi kupata, mwaka wa nne sasa nimeitwa mara moja tu Nashauri mtu tafuta hata elfu hamsini ya mtaji wa karanga Sent using Jamii Forums mobile app
  13. yuclighty

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina shahada ya Mass Communications in Public Relations and Marketing

    Ati toka lini?, jaribu kufanya biashara piah Sent using Jamii Forums mobile app
  14. yuclighty

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina shahada ya Mass Communications in Public Relations and Marketing

    Fuata ushauri huu dada!, Sent using Jamii Forums mobile app
  15. yuclighty

    JamiiForums Tanzania Natafuta mdada wa kujitolea kama Customer Care

    Interested Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom