Ushauri jamani bandugu

Yupo kijijini huko watu hawazijui sambusa wanajuha miogo tu.!!Harafu wauza sambusa mnazingua mnasemaga ni za nyama mnajaza mavitunguu tele.
Kweli niliachaga kuzila,ila nahisi kuna faida, kuna Dogo anatuletea kazini, akawa ananiomba kazi, nkamuuliza sambusa kwa Siku ukitoa matumizi unabaki na sh ngapi akasema 20000 nkamwambia baki huko huko, hiyo hela anayoipata hapa kwetu hawawezi kumpa. Na vile shule hana, sambusa zinalipa.
 
atafute sehemu ajitolee kwa bure totally bure maana huko itakua mwanzo wa kupata magepu mengine.

safari moja huanzisha nyingine
 
Habari wana JF. Kuna jamaa yangu amemaliza diploma ya uhasibu ila unaenda mwaka wa tano sasa hajapata mchongo wowote wa kazi.

Yeye binafsi anahisi huko kijijini kwao Tanga huenda machizi wakawa wamemroga hasitoboe.

Binafsi nilifikiria nimshauri aende kwa mganga akasafishe nyota ila jamaa hataki kusikia habari za waganga.

Hapo ndipo nilipopata wazo la kumshauri aende kwa Mwamposa _"Bulldozer" akakanyage mafuta apate kufunguliwa vifungo. Au wadau mnasemaje? Au mchizi afanyaje ili aweze toboa maana game imekuwa ngumu?

Asanteni!
Tatizo namba moja, Atakua anachagua kazi, mbona kazi zipo nyingi sana, ila sisi wasomi tuna matarajio ya kazi fulani fulani ambayo inapelekea kuchagua kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani baba yke alimlipia ada akasome ili aje kufungua kibanda cha sim,una comment km umelewa banana bhana..!!

Basi baba yake amuajiri mwenyewe.... watu wana masters wanauza chips sembuse hako kadiploma ndio udharau kibanda cha simu tena vinaingiza hela kuliko hata unazozitaka wewe afanye

Nacomment kama nimelewa na wewe ndio waitress leta bill
 
Wewe inaonekana unataka upate tu kuchangamsha jukwaa kwa jibu hili ulilolitoa na uhakika humu unataka likes tu sababu unapewa ushauri unajibu kunya na ni ushauri mzuri tu sasa decade hii mtu una diploma watu kibao ambao Hawana kazi wana degree na masters
Ushauri wangu kwa jamaa yako atafute hela akasome tena kwa diploma hiyo ataishia kusema anarogwa kama anataka kazi ya kiyoyozi

Sent using Jamii Forums mobile app

Tatizo aliyemuomba ushauri ni mbayumbayu na ukute ni yeye mwenyewe ana hako kadiploma anataka kusumbua watu tena kadiploma kakubahatisha huko vichochoroni
 
Basi baba yake amuajiri mwenyewe.... watu wana masters wanauza chips sembuse hako kadiploma ndio udharau kibanda cha simu tena vinaingiza hela kuliko hata unazozitaka wewe afanye

Nacomment kama nimelewa na wewe ndio waitress leta bill
Leta pombeeee,muongeze banana nyngn huyu mdada naona kashaanza ongea na ka kingereza pombe imemkolea dada Manka. 🤣 🤣 🤣 :D:D:p
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom