Natafuta mdada wa kujitolea kama Customer Care

Natafuta mdada wa kujitolea kama Customer Care

Hapa unaemtafuta ni Sales Executive, na sio Customer Care

Sent using Jamii Forums mobile app
Customer care ,wakupokea sim za wateja .,then anam connect mteja kwa mtu wa sales .Bdae anafanya follow up kujua km biashara imefanyika au haijafanyika ili apate commission yake ( lazima awe mtu mwenye kiu ya matokeo mazuri)
 
Mmejitokeza wengi..ila anataka mtu mmoja tu tena hakuna CV. Je unadhani atachukua vigezo gani ili kupata mwenye sifa?
Jiandaeni! Mtagongwa gongwa mpaka mkate tamaa
Hahahaha umenichekesha hatari 😂
 
Back
Top Bottom