Majibu ya mungu ni nan yuko wap yapopande mbili kisayansi na kiroho,kisayansi mpaka leo Wana UNANSWERED QUESTION y juu ya mungu na uwepo wake ila mungu yupo na ndie anaesababisha ucku na mchana,kiangazi masika,kucontro moyo oxygen in na carbon out,hvyo ukitafakari saaaaaaaana juu ya mungu...