"Ukaongea nae juu ya safari na returns zote ulizopata". Hapo kuna few issues
1. Pamoja na kutoka kwenye safari yenye mafanikio, ulikumbuka hata kumnunulia wife zawadi? Kwa wanawake this is a big deal!
2. Kuna kitu wife keshaomba sana wewe umekataa wakati yeye anaona kipo ndani ya uwezo wenu...
Mkuu barua inasema simply tu "noti zetu zimetengenezwa kwa namna ambayo zinaweza kuzuia vimelea kusalia kwenye noti " ambayo ni moja ya basic specification ya utengenezwaji wa noti. Hamna sehemu barua imesema pesa ya Tanzania haiwezi kusambaza Corona. Tafsiri yako sio sahihi mkuu
Nimelipia meter ya phase III toka 13 July 2019. Nikaambiwa nivumilie kuna changamoto ya meter za phase III. Zikija meter nitataarifiwa. Baada ya kama miezi miwili sikupata simu yoyote nikaenda ofisi za Tegeta. Nikaambiwa bado meter hazipo, zimekuja za waliolipa April 2019. Kwa mahesabu ya haraka...
63 (b) "...who has the means to do so". Kama ana uwezo wa kwenda saloon kwa ela yake sawa. kama hana, refer to (64):D.
THE LAW OF MARRIAGE ACT (www.rita.go.tz/eng/laws/History%20Laws/Marriage%20Ordinance,%20(cap%2029).pdf)
PART IV
PROPERTY, RIGHTS, LIABILITIES AND STATUS
63. Duty to maintain...
Wakuu mnaonaje tukiarrange tukakutana tuone jinsi ya kuwasaidia hawa wazee wetu? Na mimi nina uncle wangu alikua Tazara, toka astaafu 2000 huu mwaka wa 16 wanamzungusha tuu, Nssf hawajalipa. Yaani wanateseka mno kisaikolojia. Kama kweli ni haki yao walipwe. Au kama hamna kitu waambiwe tu ukweli.
Mkuu umesahau kikombe cha babu? Walohudhuria unakumbuka lakini? Pale ndio nilijua watu wana maphd nchi hii lakini helimu hakuna. Tuhurumie tu mkuu tuna elimu ya kukariri
Hotuba imerudiwa jpili channel 10. I am bit disappointed na miss-interpretation ya hotuba ya mkulu kwenye huu uzi. Kwa mwendo huu JF iaanza kua a mere political propaganda platform na sio great thinkers platform kama ilivyokua. Wengi tunakuja JF kupata breaking/update news bila kijali political...
Miaka 20 iliyopita Afrika Kusini walikua na hii sheria. Toka mkoa mmoja hadi mwingine unahitaji kibali maalum.
Nafikiri umepata jibu mkuu.
Hawa ndugu zetu tuliowapa dhamana wajue to the wheel turns, miaka 5 au 10 si mingi kiivyo.
Mzizi wa tatizo ni kushinda home. Ungeliona hili ni tatizo Kwanza ulipatie soln. Nssf na kitega uchumi Sio excuse ya kushinda hm. Kwa nini usishinde kwenye hicho kitega uchumi ili ukakiboresha. Utavunja ndio yako mkuu unless you don't care.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.