Mchungaji Peter Mitimingi acha kupotosha wanawake

Mchungaji Peter Mitimingi acha kupotosha wanawake

salama ya kindoa kwa mwanaume haipo kwenye kupata mke mwema atakayemhurumia kumuomba matumizi kuna kanuni muhimu mbili nazo mwanaume akipata fedha nyingi huangukia kwenye ubaya zaidi , na hivyo hivyo mwanamke akikosa fedha nyingi huangukia kwenye ubaya
 
Wakuu poleni na majukumu nimekaa na hili fukuto moyoni muda mrefu lakini nimeona ni bora nilitoe hapa ili ujumbe umfikie, nimeona baadhi ya clip za video zikizunguka kwenye mitandao akifundisha wanawake mambo mbali mbali, kilichonifanya nilete huu uzi ni pale Biblia inapopotoshwa kwa makusudi tu ya mtu fulani kushibisha tumbo lake au kutimiza ajenda yake.
Nimemsikia Mitimingi akisema mwanaume aliye oa anatakiwa kumgharamia mkewe kila kitu mpaka pesa ya salon! Aina ya mafundisho ambayo yanapendwa sana na wanawake wa leo
Wakitumia kifungu Kwenye biblia kuwa imeandikwa mwanaume utakula kwa jasho

Lakini nikisoma katika kitabu cha mithali 31:10... Biblia inaeleza kuhusu mke Mwema na sifa zake je kwanini miti mingi hawaelezi wanawake na mabinti ukweli huu? Kwanini anawadanganya?
Je haoni kama anasababisha migogoro katika ndoa na kiburi kwa wake zetu wakiamini kuwa wao kuhudumiwa kila kitu ni haki yao wakati sio kweli?

Nawasilisha.

Yuko sahihi kukuambia umuhudumie mke wako. Husipo fanya hivyo atahudumiwa na wanaume wengine
 
Mm naona ukisimama.kusikiliza hawa wachungaji wanaokuja kwa kasi ya kutufundisha wanawake na wanawake ukitaka utupate ni uongeee kuwatetea hahhaha kanisa litajaa hata kama la makuti au nyasi.. tusipende.kufata upepo tuishi malezi ambayo tumelelewa na wazazi wetu.. tusimame ktk imani zetu na tusimamie maandiko ya imani tulizokulia.. hawa wahubiri wanaweza kukuharibia ndoa yako kwa ujinga wako.
Kungwi mtoto g.
 
Wakuu poleni na majukumu nimekaa na hili fukuto moyoni muda mrefu lakini nimeona ni bora nilitoe hapa ili ujumbe umfikie, nimeona baadhi ya clip za video zikizunguka kwenye mitandao akifundisha wanawake mambo mbali mbali, kilichonifanya nilete huu uzi ni pale Biblia inapopotoshwa kwa makusudi tu ya mtu fulani kushibisha tumbo lake au kutimiza ajenda yake.
Nimemsikia Mitimingi akisema mwanaume aliye oa anatakiwa kumgharamia mkewe kila kitu mpaka pesa ya salon! Aina ya mafundisho ambayo yanapendwa sana na wanawake wa leo
Wakitumia kifungu Kwenye biblia kuwa imeandikwa mwanaume utakula kwa jasho

Lakini nikisoma katika kitabu cha mithali 31:10... Biblia inaeleza kuhusu mke Mwema na sifa zake je kwanini miti mingi hawaelezi wanawake na mabinti ukweli huu? Kwanini anawadanganya?
Je haoni kama anasababisha migogoro katika ndoa na kiburi kwa wake zetu wakiamini kuwa wao kuhudumiwa kila kitu ni haki yao wakati sio kweli?

Nawasilisha.

Fanya hesabu kama ungekuwa unategemea ku import kila siku, ungegharamia kiasi gani kupata hiyo huduma kwa siku zote ulizokaa na mkeo
 
Eleza vile unavyojua wewe. Kisha nikosoe vile nisivyo jua mimi yamkini wewe ni mjuzi zaidi.
Biblia inaeleza kwa uyanikifu juu ya kile mwanaume anapaswa kufanya kuyaendesha maisha ya kula , kunywa na mahusiano yake na mwanamke kuwa yeye ndiye atakuwa kichwa (dhana ya uwezo wa mambo ya familia ) sasa unapokuja na dai moja linalotaka kuondoa uhalali wa kazi za msingi za mwanaume kwa familia unaonekana haufahamu maandiko.
jambo la pili inaonekana una chuki dhidi ya Mitimingi kwa sababu umeona makosa tu juu yake alhali kuna mambo mengi mazuri kawahi kufundisha
 
SIFA ZA MKE MWEMA ZINGATIA SIFA ZOOOOTE

Mithali 31:10 :
Mke mwema, ni nani awezaye kumwona? Maana kima chake chapita kima cha marijani.
11
Moyo wa mumewe humwamini, Wala hatakosa kupata mapato.
12
Humtendea mema wala si mabaya, Siku zote za maisha yake.
13
Hutafuta sufu na kitani; Hufanya kazi yake ya mikono kwa moyo.
14
Afanana na merikebu za biashara; Huleta chakula chake kutoka mbali.
15
Tena huamka, kabla haujaisha usiku; Huwapa watu wa nyumbani mwake chakula; Na wajakazi wake sehemu zao.
16
Huangalia shamba, akalinunua; Kwa mapato ya mikono yake hupanda mizabibu.
17
Hujifunga nguvu viunoni kama mshipi; Hutia mikono yake nguvu.
18
Huona kama bidhaa yake ina faida; Taa yake haizimiki usiku.
19
Hutia mikono yake katika kusokota; Na mikono yake huishika pia.
20
Huwakunjulia maskini mikono yake; Naam, huwanyoshea wahitaji mikono yake.
21
Hawahofii theluji watu wa nyumbani mwake; Maana wote wa nyumbani mwake huvikwa nguo nyekundu.
22
Hujifanyia mazulia ya urembo; Mavazi yake ni kitani safi na urujuani.
23
Mume wake hujulikana malangoni; Aketipo pamoja na wazee wa nchi.
24
Hufanya nguo za kitani na kuziuza; Huwapa wafanya biashara mishipi.
25
Nguvu na hadhi ndiyo mavazi yake; Anaucheka wakati ujao.
26
Hufumbua kinywa chake kwa hekima, Na sheria ya wema i katika ulimi wake.
27
Huangalia sana njia za watu wa nyumbani mwake; Wala hali chakula cha uvivu.
28
Wanawe huondoka na kumwita heri; Mumewe naye humsifu, na kusema,
29
Binti za watu wengi wamefanya mema, Lakini wewe umewapita wote.
Ubarikiwe sana kwa kutupa neno lililo jema machoni na rohoni mwetu
 
Biblia inaeleza kwa uyanikifu juu ya kile mwanaume anapaswa kufanya kuyaendesha maisha ya kula , kunywa na mahusiano yake na mwanamke kuwa yeye ndiye atakuwa kichwa (dhana ya uwezo wa mambo ya familia ) sasa unapokuja na dai moja linalotaka kuondoa uhalali wa kazi za msingi za mwanaume kwa familia unaonekana haufahamu maandiko.
jambo la pili inaonekana una chuki dhidi ya Mitimingi kwa sababu umeona makosa tu juu yake alhali kuna mambo mengi mazuri kawahi kufundisha
Pole sana, mkuu so huyo anayeelezwa katika mithali 31 ni mwanaume?
 
mwanamke wa methali 31 wapi kaambiwa asiombe matumizi kwa mme wake ama wapi kwenye methali hiyo inasema mwanaume asihudumie kila kitu
Soma vema kisha ondoka kwenye mahaba. Kati ya huyu anayeelezwa hapa na yule anayefundishwa na Miti mingi yupi anamtunza mwenza wake na nyumba yake?
rejea mafundisho ya mitimingi kuhusu Mke kisha oanisha na huyo wa mithali 31.halafu nambie kama Mitimingi yuko sawa katika mafundisho yake..
 
Nliachana na ambaye ilitakiwa nimchumbie kila siku kunikumbusha mambo ya kijinga jinga ooh nenda Youtube kamsikilize chris Mauki na Mitimingi mpaka kero kwa bahati mbaya sana niko selective kuchagua aina ya watumishi wa Mungu wa kuwasikiliza calibre ya akina Mwakasege wale ndo huwa nasikiliza mafundisho yao.
 
Ni umaskini tu lakini akitakacho mwanamke lazima mwaume umununulie tu sema kama hakulidhishi utamhudumiaje kila kitu sasa ila kwa mahawara zetu tinatoa hata hera ya ada za watoto wetu au kodi ya nyumba kama sio duka.
Hahaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Akili za kuambiwa wachanganye na za kwao....wao waendelee kumsikiliza huyo mito mingi halafu watakiona cha mte makuni
 
Soma vema kisha ondoka kwenye mahaba. Kati ya huyu anayeelezwa hapa na yule anayefundishwa na Miti mingi yupi anamtunza mwenza wake na nyumba yake?
rejea mafundisho ya mitimingi kuhusu Mke kisha oanisha na huyo wa mithali 31.halafu nambie kama Mitimingi yuko sawa katika mafundisho yake..
Hakuna anawapotosha wanawake kwa kuwaaminisha kwamba wanatakiwa wawe tegemezi kwa Waume zao kwa 100,%
 
Nliachana na ambaye ilitakiwa nimchumbie kila siku kunikumbusha mambo ya kijinga jinga ooh nenda Youtube kamsikilize chris Mauki na Mitimingi mpaka kero kwa bahati mbaya sana niko selective kuchagua aina ya watumishi wa Mungu wa kuwasikiliza calibre ya akina Mwakasege wale ndo huwa nasikiliza mafundisho yao.
Mkuu hawa akina Miti Mingi ni wapiga hela tu wanakiharibu sana kizazi hiki..madhara yake tutayaona miaka kadhaa ijayo mbele.
Madhara yake hayatokuwa tofautu na yale ya magazeti ya udaku.
Tunaishia kuwa mke ambaye hata kufua hajui sembuse kujishughulisha kiuchumi.? ukimpa hela anawaza kwenda kusuguliwa miguu kisha apige picha apost instagram..
 
Kweli kabisa Bora kutokuoa kuliko kuoa wanawake was design hiyo
 
Ishini name wanawake kwa akili.
Chake ni Chake. Chako no Chenu.
 
63 (b) "...who has the means to do so". Kama ana uwezo wa kwenda saloon kwa ela yake sawa. kama hana, refer to (64)😀.

THE LAW OF MARRIAGE ACT (www.rita.go.tz/eng/laws/History%20Laws/Marriage%20Ordinance,%20(cap%2029).pdf)
PART IV
PROPERTY, RIGHTS, LIABILITIES AND STATUS
63. Duty to maintain spouse Except where the parties are separated by agreement or by decree of the court and subject to any subsisting order of the court–
(a) it shall be the duty of every husband to maintain his wife or wives and to provide them with such accommodation, clothing and food as may be reasonable having regard to his means and station in life;
(b) it shall be the duty of every wife who has the means to do so, to provide in similar manner for her husband if he is incapacitated, wholly or partially, from earning a livelihood by reason of mental or physical injury or ill-health.
64. Presumption of wife's authority to pledge her husband's credit, etc.
(1) Subject to the provisions of subsections (2) and (3), a wife is presumed, unless the contrary is proved, to have authority to pledge her husband's credit, or to borrow money in his name, or to use any of his money which is in her possession or under her control, or to convert his movable property into money and use the same, so far as such credit or money is required for the purchase of necessaries for herself and the infant children of the marriage, appropriate to the husband's means and way of life.
(2) Such authority shall be presumed only–
(a) where the husband and wife are living together;
(b) where the husband and wife are separated under an agreement which provides that the husband will pay maintenance to the wife and he has failed to comply with that agreement;
(c) where the husband has deserted his wife or by his conduct has compelled her to leave him.
(3) Notwithstanding anything in subsections (1) and (2), no such authority shall be presumed where it is proved that the wife is living openly in an adulterous association.
(4) The presumption of authority set out in subsection (1) may be rebutted by evidence–
(a) that the wife was already receiving a sufficient allowance or sufficient maintenance or had sufficient means;
(b) that the wife already had a sufficiency of the goods so purchased; or
(c) that the goods so purchased were excessive in quantity or extravagant having regard to the husband's means, and it is immaterial that the person giving credit or lending money may have been unaware of the fact
 
Wakuu poleni na majukumu nimekaa na hili fukuto moyoni muda mrefu lakini nimeona ni bora nilitoe hapa ili ujumbe umfikie, nimeona baadhi ya clip za video zikizunguka kwenye mitandao akifundisha wanawake mambo mbali mbali, kilichonifanya nilete huu uzi ni pale Biblia inapopotoshwa kwa makusudi tu ya mtu fulani kushibisha tumbo lake au kutimiza ajenda yake.
Nimemsikia Mitimingi akisema mwanaume aliye oa anatakiwa kumgharamia mkewe kila kitu mpaka pesa ya salon! Aina ya mafundisho ambayo yanapendwa sana na wanawake wa leo
Wakitumia kifungu Kwenye biblia kuwa imeandikwa mwanaume utakula kwa jasho

Lakini nikisoma katika kitabu cha mithali 31:10... Biblia inaeleza kuhusu mke Mwema na sifa zake je kwanini miti mingi hawaelezi wanawake na mabinti ukweli huu? Kwanini anawadanganya?
Je haoni kama anasababisha migogoro katika ndoa na kiburi kwa wake zetu wakiamini kuwa wao kuhudumiwa kila kitu ni haki yao wakati sio kweli?

Nawasilisha.
Mkuu mtunze mkeo ukishindwa wapo wengi wa kukufanyia hiyo kazi huna haja ya kulalamika jamvini mchana kweupe. 😛😛😛😛
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom