Wakuu naombeni mtu mwenye utaalamu wa coding kwenye VBA anisaidie jambo,nimejaribu ku attach file hapa nimeshindwa,ni word document na excel-macros enabled document.Kwa atakaekuwa tayari naweza kumtumia email.
Thank you.
Simu tajwa hapo juu inauzwa,almost new,imetumika miezi mitatu tu.
Features kwa ufupi ina 1gp ram,8gb internal memory,front camera,pia ina screen protector, no scratches.
Bei tshs 280000.
Kama upo interested ni pm.
Wasalaam
naombeni uzoefu kidogo kama cif imeanzia usd 4300 kuna uwezekano wa kubagain nae mpaka ngapi?kama ni gari ya mwaka 97 (rav 4 ile ya zamani),cc 1980 mileage km 80000 mpaka inatembea barabarani hapa bongo niandae kama shs ngapi?
kampuni ni real motor japan
"Being the 4icu.org University Web Ranking a non-academic ranking, the need for ranking methodology transparency and the ability of testing and reproducing the results, as suggested by the Berlin Principles on Ranking of Higher Education Institutions, is less stringent than for academic...
sioni tatizo,kwanza nina uhakika kuna maongezi yameshafanyika btn airtel na familia ya marehemu kwa kipindi hcho ambacho tangazo lilikuwa limesitishwa,familia itakuwa inanufaika.
kuhusu contract kipindi kile cha msiba niliwahi kumsikia mzee majuto akisema yeye na sharo walikuwa na kampuni yao...
Shukran sana mkuu,mm naona bora Msc finance coz ntabak na utaalam utanisaidia hata kwenye ishu alizosema mkuu pale za consultancy,MBA system zetu hzi unaweza hzo senior positions usiziguse mpk unastaaf
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.