Tunapitia kwanza majina yenu ili tuchague wanachama wa chama flani cha siasa.....halafu inachukua muda kuchapa majina 100 kwa nafasi 2....pia kama alivyosema Kiongoz hapo tunawapa muda wa kuandaa pesa na kija kutuona binafsi ofisin kabla hatujatoa majina
Chakuongezea hapo... Hiyo ni hatua ya mwanzo itakayokufanya uitwe kwenye interview, sasa kikubwa ndani ya interview:
1.Confidence
2.Personality
3.Self expression
4.Presentative
5.Maintain eye contact
6. Ask questions
Wakenya wengi wanakuja TZ na wanapata Ajira kirahisi. Waajiri wengi...
Atakosa pote...coz utaratibu ni kwamba kama umeajiriwa serikalini unapoomba kazi nyingine lazima barua yako ipitie kwa mwajiri wako.....sasa wao wataamini ww haukufata hiyo taratibu ulipuuza .....hii taratibu imewekwa ili waajiriwa watulie sehemu zao za kazi na wawaachie wasio na kazi wapate...
Poleni siri bado hatujaifahamu.....Kazi nyingi Tanzania zinatolewa Kwa wanachama wa chama fulani cha siasa,kujuana,rushwa,ukabila hizo ndo sifa kuu za candidates ....baada ya hapo ndo tunajazia jazia nafasi zinazobaki kwa wale competent candidates....Zinaweza zitolewe hizo za kilimo na usipate...
Upinzani haujaanza Leo....wabunge wengi watapita kulingana na busara zao but suala la Uraisi bado sana UKAWA umechelewa hilo wazo wangelianzisha 2010 wangepita.....Wameshaanza kujichanganya na kuwagawa wapiga kura.....
Sure...uko sahihi kiongoz....Lowasa anakubalika kwa wananchi wapiga kura ambao ndo asilimia kubwa ya watanzania 60% ambao si wanachama wa chama chochote cha siasa.....hakuna ushabiki wa siasa hapo
Hapo kiongoz umeongopa.......Ila sasa kama chama kina wafuasi wengi tusio na elimu na wenye elimu wengi kwenye chama ni wachaga sasa hapo si ndo mwanzo wa kuruhusu ukabila ambao hatuutaki kwenye uongoz wa chama.....
Kweli mkuu....Poleni sana vijana katika harakati ya kutafuta Ajira najua asilimia 90% red brigade elimu yenu ni std 7 to form 4.....Chama kimebadili direction kutoka chama cha demokrasia kuelekea Chama cha kigaidi/ Uasi .....Tatizo la Ajira kwa vijana bado halijapata jibu.....Wasomi wataendelea...
Hicho chakula tumetenga kwa ajili ya kampeni kwa vijiji vya wapiga kura watakaokumbwa na njaa......Bado Africa haijapata viongoz.....Siasa hatuiwezi......wananchi wanapuuzwa kisa ushindani wa Siasa.....KATIBA itoe nafasi kwa wananchi kuwakataa na Kuwafukuza kazi viongoz wapuuzi kama huyo waziri...
Mzalendo mpiga kura.....je tume ya uchaguzi itakuwa huru ??? Tatizo sio kushinda ila tatizo ni kutangazwa mshindi.....Pia wananchi tunapenda kuona kipya vipi miaka yote hao hao wanashindwa mnawarudisha kama Lipamba na CAFA......Kama kweli UKAWA itadimu mpaka mwisho TUTAWAPA NCHI
Kweli mkuu.....hata mlevi hodari anakubalika kwa BAR MAIDS kwa juhudi zake za kuzungusha round na kukesha bar......cha ajabu familia yake ina lala na njaa.....SIE wananchi masikini wapiga kura TUTAZIONA KASORO but Ushabiki wa kisiasa na wanachama wake CHONGO wataita KENGEZA.....ni mtazamo tu...
Wafanyabiashara wengi hamtumii akili....hauwezi kuipangia serikali ila serikali ndo inayopanga KODI....mlizoea kukwepa KODI....mbona wafanyakazi wanakatwa Direct kwenye mishahara yao siku zote.....mshahara mil 2 kwa mwezi kodi karibu laki 3....
....sasa nyie kwa mwezi wengine mnaingiza zaidi ya...
Kweli.....hayo ni matumizi mabaya ya madaraka na rasilimali za nchi....hivi huyu jamaa hana washauri???....TUNAHITAJI MABADILIKO MAKUBWA YA KATIBA kupunguza madaraka kwa viongozi ambao hawajitambui......hata driver barabarani angekuwa anamgongo kila mpita njia kisa yuko sahihi kulingana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.