Hivi BOT na Shirika la Posta wameita watu kwenye interview?

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
12,073
Reaction score
16,633
Mambo vipi wakubwa?

Naomba kuuliza; Hivi hawa jamaa wameishaita watu kwenye usaili kwa zile posts za note counter za BOT na postal clerk za TPC? Maana wengine tuko maporini sana huku network mpaka tupande kwenye vilima.
 
Tunapitia kwanza majina yenu ili tuchague wanachama wa chama flani cha siasa.....halafu inachukua muda kuchapa majina 100 kwa nafasi 2....pia kama alivyosema Kiongoz hapo tunawapa muda wa kuandaa pesa na kija kutuona binafsi ofisin kabla hatujatoa majina
 
kwani nafasi mlizotangaza ni mbili au 26,au hizo 24 zilikua na watu tayari?
 
Back
Top Bottom