wakati umefika wa nchi kuongozwa na watu wenye elimu ya kutosha ili kuweza kupata wabunge wenye uwezo wa kujenga hoja za msingi bungeni na uewela wa mambo ili kupunguza mipasho bungeni, na ndo maana chadema wameamua kuja na sera hii kuwa kila mbunge lazima elimu yake ianzie kiwango cha shahada ya kwanza na kuendelea.
Lakini naona sera hii wapo baazi wataumia maana wengine walizani watapata nafasi pasipo kujali elimu zao na wengini wamo ndani lakini sera hii ni mwiba kwao.
Naomba nifahamishwe nafasi ya 1, lema
2, mbowe
chanzo:gazeti la tiafa imara:​