Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,842
- 31,073
Mkuu majebere, umesema pesa hiyo ya kodi inahitajika sana na serikali ya Sisiem, kwa kuwa uchaguzi umekaribia, unataka kutuambia mnazihitaji sana pesa hizo ili mkanunulie fulana, khanga na kofia, ili muwahonge wananchi, na kuwafanya wapiga kura hao kuwa mabango yenu ya matangazo, kwa kuvalia sare hizo za chama chenu cha magamba?Waailete za kuleta, janja ya kutaka kwepa kodi hakuna sasa. Hela inahitajika, uchaguzi umekaribia
Kama lengo la serikali hii ni kuzisaka kwa udi na uvumba, pesa hizo za kodi ili waxipeleke kwenye kampeni kwa ajili ya kukinufaisha chama kimoja, ni vyema wafanyibiashara hao wakaendelea kukomaa na msimamo wao huo huo.