Nini kitatokea endapo UKAWA hawatashinda Oktoba 2015?

buhabi

Member
Joined
Dec 14, 2013
Posts
23
Reaction score
13
Wakuu nimekuwa natafakar kwa makin sana,naona kuna dalili kuu mbili
Endapo ukawa watachukua nchi october ni kwa sababu kuu moja,jk atakua amewasaidia sana ,maana bila mchakato wa katiba vyama hivi visingefikiria hata kuungana
Nakama UKAWA wakipigwa chini october,basi ni dhahiri mgogoro mkubwa sana na huenda ukawa mwisho wa Ukawa tena
Ccm itakuwa na nguvu maradufu na hakutakuwa tena na mpinzan wa kuaminika kirahisi
 
Achana na mazingaombwe weye kijana! Piga kazi za maendeleo kwa ajili ya nchi yako. Vyama vyote vitakuja, vitakua, na kisha kuondoka lakini nchi yako itaendelea kudumu milele na milele. Mambo ya UKAWA sijui CCM hata yasikusumbue kichwa. Wewe sumbukia maisha yako, watoto wako, ndugu zako, na nchi yako. Hakikisha pia unajiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura ili upate haki ya kupiga kura kwenye Uchaguzi mkuu hapo Tar.25 October, 2015!
 
Upinzani haujaanza Leo....wabunge wengi watapita kulingana na busara zao but suala la Uraisi bado sana UKAWA umechelewa hilo wazo wangelianzisha 2010 wangepita.....Wameshaanza kujichanganya na kuwagawa wapiga kura.....
 
Wakuu nimekuwa natafakar kwa makin sana,naona kuna dalili kuu mbili Endapo ukawa watachukua nchi october ni kwa sababu kuu moja,jk atakua amewasaidia sana ,maana bila mchakato wa katiba vyama hivi visingefikiria hata kuungana Nakama UKAWA wakipigwa chini october,basi ni dhahiri mgogoro mkubwa sana na huenda ukawa mwisho wa Ukawa tena Ccm itakuwa na nguvu maradufu na hakutakuwa tena na mpinzan wa kuaminika kirahisi
CCM hata ikichupewa nchi na majeshi itakimbia ikulu..km hapa tuu JK alishaacha nchi ijiendeshe yenyewe...ccm wakipewa muda mafuta yatakuwa yameisha na nchi itaanguka.
 
Achana na mazingaombwe weye kijana! Piga kazi za maendeleo kwa ajili ya nchi yako. Vyama vyote vitakuja, vitakua, na kisha kuondoka lakini nchi yako itaendelea kudumu milele na milele. Mambo ya UKAWA sijui CCM hata yasikusumbue kichwa. Wewe sumbukia maisha yako, watoto wako, ndugu zako, na nchi yako. Hakikisha pia unaandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura ili upate haki ya kupiga kura kwenye Uchaguzi mkuu hapo Tar.25 October, 2015!

Umeongea sahihi mkuu lakin hayo niliyoyasema ni matokeo ya uchaguz ujao,tupende tusioende hali lazima ibadilike baada ya uchaguzi,tunapenda tuendelee na aman na mshikamano ,na tatizo litakalotugawa si dini wala vyama,tofauti na wanavowaza wengi,ni mtazamo hasi juu ya maendeleo ya demkcrasia yetu
 
CCM hata ikichupewa nchi na majeshi itakimbia ikulu..km hapa tuu JK alishaacha nchi ijiendeshe yenyewe...ccm wakipewa muda mafuta yatakuwa yameisha na nchi itaanguka.

Nick sikia,ccm kama vyama vingine inajitutumua kuendelea kuilea tz,ukawa wakipata nchi sitachukia lakin tuwe tayar kuzimia kwa muda usiopungua miaka mitano then tutazinduka ,sijui umenipata?
 
Upinzani haujaanza Leo....wabunge wengi watapita kulingana na busara zao but suala la Uraisi bado sana UKAWA umechelewa hilo wazo wangelianzisha 2010 wangepita.....Wameshaanza kujichanganya na kuwagawa wapiga kura.....

Urais unahitaji mizizi imara sana,nchi haitowezekana kuongozwa kwa viongoz wenye mitazamo tofaut tofaut,kisa wanataka nchi basi wakusanyane tu hata kama hawana common goals,
Msaada mkubwa wa ukawa ni wananchi wamechoka basi,na sio sera zao
 
Nick sikia,ccm kama vyama vingine inajitutumua kuendelea kuilea tz,ukawa wakipata nchi sitachukia lakin tuwe tayar kuzimia kwa muda usiopungua miaka mitano then tutazinduka ,sijui umenipata?
bado sio shida kwani Ukawa wakichukua si watakuwa na vyama km vingine?Na si kweli baada ya kuchukua nchi watajenga himaya km ya ccm.Bado vyama vitakuwa vikitoka na kuingia,watu wakifungwa na kufilisiwa haki tutakuwa na akili kwamba sasa ukiingia usicheze.HIi kinga ya CCM itakufa na hakuna tena chama kitakachohodhi polisi,tume, mahakama,majeshi etc..kwani kutakuwa na watu wengi tuu wenye fikra tofauti na kujiamini kuwa kila kitu kinawezekana.
 
Achana na mazingaombwe weye kijana! Piga kazi za maendeleo kwa ajili ya nchi yako. Vyama vyote vitakuja, vitakua, na kisha kuondoka lakini nchi yako itaendelea kudumu milele na milele. Mambo ya UKAWA sijui CCM hata yasikusumbue kichwa. Wewe sumbukia maisha yako, watoto wako, ndugu zako, na nchi yako. Hakikisha pia unaandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura ili upate haki ya kupiga kura kwenye Uchaguzi mkuu hapo Tar.25 October, 2015!

Kwakuwa hata hao walio kwenye vyama wanasumbukia maisha yao na watoto wao. Yaani siasa ndiyo ajira yao.
 
buhabi unaonaje ukiipenda CCM yako milele
 
Last edited by a moderator:
Wakuu nimekuwa natafakar kwa makin sana,naona kuna dalili kuu mbili Endapo ukawa watachukua nchi october ni kwa sababu kuu moja,jk atakua amewasaidia sana ,maana bila mchakato wa katiba vyama hivi visingefikiria hata kuungana Nakama UKAWA wakipigwa chini october,basi ni dhahiri mgogoro mkubwa sana na huenda ukawa mwisho wa Ukawa tena Ccm itakuwa na nguvu maradufu na hakutakuwa tena na mpinzan wa kuaminika kirahisi
Kwanini usijiulize nini kitatokea wakishinda?HIlo ndio more relevant..kwani wengi mna issue za kujibu mahakamani,mna issue ya kukosa kazi kwani mrija wa kula utakata..etc
 
Wakuu nimekuwa natafakar kwa makin sana,naona kuna dalili kuu mbili
Endapo ukawa watachukua nchi october ni kwa sababu kuu moja,jk atakua amewasaidia sana ,maana bila mchakato wa katiba vyama hivi visingefikiria hata kuungana
Nakama UKAWA wakipigwa chini october,basi ni dhahiri mgogoro mkubwa sana na huenda ukawa mwisho wa Ukawa tena
Ccm itakuwa na nguvu maradufu na hakutakuwa tena na mpinzan wa kuaminika kirahisi

Funzo kumbwa la kwanza ambalo CCM watapata ni kwamba watatambua kwamba CCM hawana hati miliki ya nchi hii.

Funzo la pili ambalo wananchi watapata watajua kwamba wananchi ndio waajiri wa viongozi wote wa kisiasa kuanzia Rais, wabunge na madiwani.

Funzo la tatu ambalo UKAWA watapata ni kwamba kama wataongoza nchi bila kufuata haki, sheria na miiko ya uongozi, uchaguzi utakaofuata wananchi watawa vote out.

Kwa maendeleo ya nchi hii, kuna more advantages UKAWA kushinda uchaguzi wa October 2015, kuliko CCM kurudi madarakani.

Mwisho kabisa JK amekuwa Mwenyekiti KIVULI MTIIFU wa UKAWA kwani amewapandisha sana chart.
 
Mnyika atarudi shule,Lema atarudi kazi yake ya zamani,mbowe kuendelea kupiga mziki,sugu naye kureje katika muziki pia,slaa kurejea kanisani nk.
 
CCM hata ikichupewa nchi na majeshi itakimbia ikulu..km hapa tuu JK alishaacha nchi ijiendeshe yenyewe...ccm wakipewa muda mafuta yatakuwa yameisha na nchi itaanguka.
Mbona mnapagawa mapema kiasi hiki subiri dawa iingie ccm chama ambacho watanzania bado wanakiamini sana itashinda kwa kiasi kikubwa sana mnaweza hata kuchanganyikiwa.
 
Kama ukawa hawatashinda urais, chama ambacho kitasimamisha mgombea urais ndicjo kitakacho nufaika kwa kupata Viti maalum vingi na ruzuku nyingi na vyama vingine kujichimbia kaburi na kujifukia
 
Mnyika atarudi shule,Lema atarudi kazi yake ya zamani,mbowe kuendelea kupiga mziki,sugu naye kureje katika muziki pia,slaa kurejea kanisani nk.

Lema atarudia kazi yake ya zamani ipi hiyo??
 
Mnyika atarudi shule,Lema atarudi kazi yake ya zamani,mbowe kuendelea kupiga mziki,sugu naye kureje katika muziki pia,slaa kurejea kanisani nk.

Kwani ubunge wao unatokana na UKAWA kuwa na raisi madarakani? Hao uliowataja isipokuwa Dr Slaa wataendelea kuwa Wabunge whether UKAWA watashinda uraisi au la.
 
Back
Top Bottom