Recent content by Yote mema

  1. Y

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Afisa ubashiri wenzangu, msimu uliopita timu nyingi zilizokua Zinaanza na herufi A hazikuwa serious.👇 Acmillan Ajax Atlanta Arsenal Atlteico Madrid. tena huyu jana kaanzia alipoishia msimu uliopita
  2. Y

    Kumbukumbu baada ya msoto mkali

    Hongera kwa kuvuka, Mimi nipo kwenye hiki kipindi Giza limetanda sana
  3. Y

    Wakubwa naombeni kazi nitakufa

    Mkuu nikumbuke
  4. Y

    Wakubwa naombeni kazi nitakufa

    ubarikiwe mkubwa
  5. Y

    Wakubwa naombeni kazi nitakufa

    ndio nipo dar
  6. Y

    Wakubwa naombeni kazi nitakufa

    sawa mkubwa
  7. Y

    Wakubwa naombeni kazi nitakufa

    hapana sina mchezo wowote wa kutafuta hela ya bure humu, kipindi kile nilikua bado nipo kazini japo Mambo yalikua yashaanza kuyumba. na sijawahi pokea hela yoyote humu. Nimekutag kama appreciation
  8. Y

    Wakubwa naombeni kazi nitakufa

    Asante sana
  9. Y

    Wakubwa naombeni kazi nitakufa

    mkuu situmii pombe na wala sijawahi kufikiria ilikua ya kula
  10. Y

    Wakubwa naombeni kazi nitakufa

    Habari wana jamii forum, niende kwenye mada, nina miaka 29 nilikua ninafanya kazi taasisi binafsi bahati mbaya ofisi yetu ilifungwa. Baada ya ofisi kusimama nilizidi kupambana kutafuta sehemu nyingine kwa kuhudhuria interview tofauti tofauti lakini sijabahatika kupata. Humu jamii forum kuna...
  11. Y

    Luhaga Mpina: Askofu Gwajima ni sawa na saa mbovu kuna wakati inasema ukweli

    Mkuu Mshana naomba msaada wako PM tafadhali uonapo SMS hii
Back
Top Bottom