Recent content by Yorname

  1. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tulioangalia mpira kupitia TBC

    Tv yake ilikuwa ina tatizo kitu ilikuwa HD kabisa
  2. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyimbo kali ambazo hazikupewa nafasi katika mainstream media

    Kuna nyimbo moja ya Dizasta vina "wimbo usio bora" nmeuelewa sana
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Hawaamini macho yao

    Maisha haya dah...
  4. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naisubiri Bongo Planet bila ya Dullah

    Jamaa hakua amesomea kulingana na matakwa ya serikali nahsi kaamua kujitoa mapema
  5. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ally Mayai Tembele anaichokoza Yanga

    Ally aliyakana haya maneno sio yake yamezunguka sana kwenye hz group za whatsapp tangu mwaka juzi
  6. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Siipati Twitter App store

    Version ya simu hiyo ni mda mrefu
  7. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Duh uliliwa kimasihara
  8. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Jinsi ya kuwaonya watoto waache tabia ya kujaribu kufanya mapenzi

    Bila fimbo hujafanya cha maana, chapa hadi wapate usingizi
  9. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inshangaza Simba kuanza na wachezaji 10 vs Dodoma Jiji

    Wamekirekebisha
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Rayvanny aanguka na kuvunjika mkono stejini

    Huyu jamaa alikuwa anatafuta attention ya kuachia Albam yake hamna kipya
  11. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msemaji wa Yanga afungiwa kujihusisha na shughuli za mpira wa miguu kwa miaka 3

    Mpunga GSM wamemlipia nahisi kuna issue nyingine kazingua nmeiona risiti ya benki huko mtandaon ikionyesha kalipiwa
  12. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Larry Bwalya anauweka majaribuni Ufalme Chama..!

    Dah Bwalya ni mzuri lakini Chama anajua sana kuna baadhi ya mechi zinamkataa kama ya jana ndio anaonekana wa kawaida
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Salama vs Zamaradi tukate mzizi wa fitna leo

    Kwangu Salama ni mtu na nusu
  14. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwangu mm Extraction ndio movie bora 2020

    Iko poa story yake inavutia kidogo
  15. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kocha wa El Merreikh ya Sudan kujiunga Simba

    Pira birian lazima lionekane
Back
Top Bottom