kenge 10
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 1,450
- 2,385
Hapo mickson ndy ataenjoy coz wote wanaongea portugueseAnaongeaje kimakonde na Mickson?
Hapo mickson ndy ataenjoy coz wote wanaongea portugueseAnaongeaje kimakonde na Mickson?
imesaidia sana kufanya simba inaongelewa mitandaoni ungekuwa una interact page za football facebook ungeelewa ninachosema ,alivyoondoka sven ilikuw a bonge la news nakuhakikishia kama mwambusi angekuwa simba halafu kaondoka shughuli ungesikia all over africakesho utasikia Mikel Arteta ametuma CV Simba

Eti wanasema wanamtaka Mwinyi Zahera.we tulia hivyo hivyo usiulize chochote sawakesho utasikia Mikel Arteta ametuma CV Simba
Ili ni bonge la kocha,kwanza vimacho vyake tu kama Messi.kudadadeki![]()




Tunataka tufike FINAL CL Africa!!Tunataka pira biriani asije akatuletea pira magimbi ataondoka mapema tu
Pira birian lazima lionekaneTunataka tufike FINAL CL Africa!!
Uwezo wenu ni kufika fainali ya Mapinduzi Cup na Azam Ferderation Cup tu. Huko kwingine mtaishia tu kuchungulia.Tunataka tufike FINAL CL Africa!!