Naisubiri Bongo Planet bila ya Dullah

Naisubiri Bongo Planet bila ya Dullah

Aiseee kipindi kitaboa sana maana Lesa Sidi ,Fredoo Munji na Dulla +DJ Summer TZ ilikuwa bonge la kombinenga ila kwasasa hata Lesa sidi hasikiki tangia wiki iliyopita labda na yeye anasepa...Yupo Fredoo peke yake.
Summer ni shidaaaa
 
Leo nasikia Eti ndio anaondoka dah jamaa yupo talented sana sijui kipindi kitakuwaje bila ya jamaa.
Hivi kumbe kuna watu mliendelea kuangalia Planet Bongo baada ya Salama Jabir kuondoka.
 
Planet Bongo haiko relevant sikunyingi, sikumbuki mara ya mwisho kuiangalia. Btw Dulla ni talent, namtakia kila la kheri huko aendapo, japo najua hawezi kuchukuliwa wasafi maana nasikia huwa anamchukia Diamond
 
Dulla naonaga anarembua tu macho na kukaribu kuleta vimisemo ambavyo havivumi.

Mara ya mwisho kufuatilia PB ilikua enzi za Salama huko.
 
Labda aungane na Millard kwa Amplifaya.
Amplifaya akafanye nini huku hana hata diploma ya uandishi wa habari?

Amplifaya ni one man show,ndo maana Meena Ally pia aliharibu na wakamtoa.
 
Lesa ashasepa yuko clouds plus
Aiseee kipindi kitaboa sana maana Lesa Sidi ,Fredoo Munji na Dulla +DJ Summer TZ ilikuwa bonge la kombinenga ila kwasasa hata Lesa sidi hasikiki tangia wiki iliyopita labda na yeye anasepa...Yupo Fredoo peke yake.
 
Jamaa hakua amesomea kulingana na matakwa ya serikali nahsi kaamua kujitoa mapema
 
Sidhani kama alipewa Benz kweli,itakuwa maigizo tu yao!! EA radio walimpa cheo cha urais wa bongo fleva ndio wakasema rais lazima awe na ndinga ya ukweli,ndio wakampa Benz(hapa ilikuwa sanaa tu
Sasa kwanini waigize hivo?
Halafu wewe ile range yangu hadi leo haijafika
 
Sasa kwanini waigize hivo?
Halafu wewe ile range yangu hadi leo haijafika
=Si unajua tasnia ya bongo fleva/movie/habari wanaenda na trending kupata kiki? Walikuwa wana introduce kitu kipya Ea radio ,ili kupata mileage(coverage/trending) ndio wakaona wampe benz dullah.(Maigizo).

=Hahahahaa Range ipo kwenye Maji si unajua inatokea Japenga ,na meli za kutoka Japenga zinapitia vituo vingi ,itafika tu vuta subira.
 
Back
Top Bottom