Recent content by YonDu Udonta

  1. YonDu Udonta

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namkataaje mwanaume nisiempenda?

    Mnyime kabisa usimpee
  2. YonDu Udonta

    JamiiForums Tanzania Naomba shauri wa kumiliki gari ndogo

    Tafuta Vitz RS, Au Terios Kid, Na Huo Umbali 1.5km Full Tank Unatoboa Miaka Miwili Na Miezi Mitatu
  3. YonDu Udonta

    JamiiForums Tanzania Niweke Spensa au Shokap gari kwenye gari inayogusa chini sana?

    Mbona hawafiki hawo wataalamu
  4. YonDu Udonta

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tafuta pesa achana na mapenzi msemo mgumu kutekelezeka, naanzisha tena penzi jipya wazee

    Ulivomalizia Hapo Mwisho 😂
  5. YonDu Udonta

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda, life starts at 40

    Na wale ambayo inafika 40 bado mambo hayaendi?
  6. YonDu Udonta

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akikuchomekea mtoto dawa ni moja tu!

    Vipi kuhusu na Yule anaejilengesha mimba wakati wa mahusiano huku wewe hauna mpango wa kuzaa kwa wakati huo?
  7. YonDu Udonta

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwenye mapenzi jitahidi uwe mvumilivu na mwelewa, usikurupuke soma kisa changu

    Ila Kwa Chuga Jamaa Yangu Nahisi Hakukosa Manzi Kwa Siku Zote Hizoo... Pisi Kali Sanaa Ziko Nyenge Ila Wanabei Kichizii
  8. YonDu Udonta

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum: Nukuu kutoka kwenye Movies au Series

    "My father used to say, when you WALK walk, when you LAUGH laugh, when you EAT eat like it's your last MEAL"--- Grean Book (2018)
  9. YonDu Udonta

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum: Nukuu kutoka kwenye Movies au Series

    "You know.... the WOLRD's full of LONELY PEOPLE afraid to make the FIRST MOVE" --- Green Book (2018)
  10. YonDu Udonta

    JamiiForums Tanzania Usijaribu kununua haya magari mawili utalia kilio cha mbwa mdomo juu

    Ikitajwa Passo Picha Inanijia Funcago [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  11. YonDu Udonta

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Upweke unanitesa, nisaidieni.

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  12. YonDu Udonta

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayeifahamu hii movie

    Shukrani sanaa Mkuu
  13. YonDu Udonta

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayeifahamu hii movie

    Na Nyingine ni ya Nicolas Cage... Ni love story flanii hivi ambayo Cage amecheza Mtu/Ghost asiyeonekana na watu, Ghafla anatokea kumpenda dada mmoja ile yule dada hamuoni Cage,... Siku ya siku Cage akajidondosha kutoka Ghorofani ili ajiuee lakini akabadilika sasa kua Mtu na akakimbilia kwa...
  14. YonDu Udonta

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayeifahamu hii movie

    Safi Sanaa Huu Uzi... Mimi kuna Movie moja nilionaga ITV zamani sana iko hivi... "kuna huyo mwamba yeye alikua msafiri, akapata kulala kwenye lodge/motel moja. Mule ndani palikua na draw/kabati hivii na akafungua ndani akakuta kakaratasi flanii kuukuu ikiwa na maandishi, alianza kuyasoma yale...
  15. YonDu Udonta

    JamiiForums Tanzania SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

    Hili Beat La Hii Ngoma Ni Hatari... Naombeni List Ya Nyimbo Kama Hizi, huwa nina kawaida ya kujitengenezea kaMix kangu Virtual DJ
Back
Top Bottom