YonDu Udonta
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 723
- 570
Na Nyingine ni ya Nicolas Cage...
Ni love story flanii hivi ambayo Cage amecheza Mtu/Ghost asiyeonekana na watu, Ghafla anatokea kumpenda dada mmoja ile yule dada hamuoni Cage,...
Siku ya siku Cage akajidondosha kutoka Ghorofani ili ajiuee lakini akabadilika sasa kua Mtu na akakimbilia kwa yule dada...
Yule dada akampenda na kuna iyo siku yule dada alikua anaendesha Baiskeli road akagongwa na gari akafa... Cage akaumia sanaaa