Breaking bad
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,464
- 3,495
Filamu ni ya kizungu (western).
nadhani inaweza kuwa ni horror.
plot yake ipo hivi. Ndani ya familia ya kitajiri lakini utajiri wake unaoonekana ni kwa njia ya kishirikina. Kulikuwa na kijana ndani ya ile familia nadhani ni extended family.
Yule kijana ndani ya ile familia akaoa lakini usiku ule baada ya ndoa wanafamilia wanaanza kumtafuta mke wake wakiwa na silaha ili wamuue(nadhani walimpa option akajifiche iwe kama game hivi ndani ya ile nyumba).
Nadhani hili ni sharti ili waweze ku maintain ukwasi wao.