Niweke Spensa au Shokap gari kwenye gari inayogusa chini sana?

tRNA

Member
Jan 10, 2023
88
288
Habari wadau,

Nina gari Vitz New model lakini ipo chini sana, ukipita kwenye tuta kubwa au rough road yenye mabonde mabonde lazima iguse chini. Najua humu kuna wataalam wa haya mambo mimi sio mtaalam kabisa wa magari!

Katika kutafuta ushauri wa hili swala wengine wameniambia niweke spensa ili gari inyanyuke kidogo wengine wanasema niweke shokap zipo za kisasa gari haigusi chini tena.

Naomba ushauri wataalam katika hili.
 
Hakuna haja ya kibadilisha shock-up tafuta rim ya size 16 na uweke tairi ya 205/ 70R/ 16 ..
Pia kama utaongezea spacer ya Inch moja itakuwa poa zaidi
 
Habari wadau nina gari Vitz New model lakin ipo chini sana ukipita kwenye tuta kubwa au rough road yenye mabonde mabonde lazima iguse chini! Najua humu kuna wataalam wa haya mambo mimi sio mtaalam kabisa wa ma gari!

Katika kutafuta ushauri wa hili swala wengine wameniambia niweke spensa ili gari inyanyuke kidogo wengine wanasema niweke shokap zipo za kisasa gari haigusi chini tena

Naomba ushauri wataalam katika hili
Funga spacer inch 1 tu, tatizo kwisha. Dar kila moja ni Tsh. 5000- 7000 hapo Ilala.
download (1).jpeg
 
Back
Top Bottom