Recent content by yondosister

  1. Y

    Mtoto wa miaka nane auawa Njombe

    Jaman let us pray for innocent children Baba yetu uliye mbinguni jina lako litukuzwe, ufalme wako ufike, utakalo lifanyike duniani kama mbinguni, utupe leo mkate wetu wa kila siku, utusamehe makosa yetu kama tunavyowasamehe walio tukosea, usitutie ktk kkishawishi lkn utuopoe na yule muovu Amina.
  2. Y

    Nimeamini kuoa mwanamke aliyezalishwa ni sawa na kununua uwanja wenye mgogoro

    Hivi hujui kuwa aliyeolewa anatumika kuliko asiyeolewa Kwa sababu vitu vingi alivyokuwa akitegemea kwa bwana havipati umejiuliza kwann ndoa za siku hizi ni varuvaru tulia kula ugali wako acha dunia iendelee kuzunguka. Lkn wake za watu wanatumika kuliko single mother
  3. Y

    Nimeamini kuoa mwanamke aliyezalishwa ni sawa na kununua uwanja wenye mgogoro

    Mbona na nyie wanaume mnatuchanganya au mko tofauti wa humu mitandaoni na wa huko nje coz wa huko nje wanapenda sana wanawake waliozaa kwa madai kwamba wametulia na wa humu jf wanaponda waliozaa. Hivi hamjui wanawake wengi waliozaa hasa kwa kipindi hiki cha vyuma vimekaza ni hot cake sn sababu...
  4. Y

    Majambazi 13 wauawa Kibiti, wakutwa na Bunduki 8 pamoja na Pikipiki 2

    Mbona waharifu wakiua raia tunaona picha za matukio hata damu tunaziona sasa upande wa pili vielelezo ni vingi mno
  5. Y

    UCHAMBUZI: Maneno ya matusi yatafanya wimbo wa Ben Pol ufungiwe?

    Huyu jamaa kaachana na mama watoto wake kutokana na uzinzi so naona dongo Kwa mzazi mwenzake. Ukizingatia mkeo kaenda Kuishi maeneo ya pesa yeye bado anaishi uswahilini mapenzi mubasharaaaaa
  6. Y

    Flora Mbasha kufunga ndoa wiki ijayo

    NDOA nyingi sn za kibongo bongo zilishakufa huku bado zimesimama kutokana kubwa sababu uzinzi au simply michepuo, ila mijitu inahemea juu juu kutaka sifa nina ndoa kumbe ni usaliti tu unaoendelea ndani ya nyumba ngozi nyeusi haiwezi kukeep promise.sasa frola kaamua kuishi uhalisia wa kiafrika na...
  7. Y

    Ushauri wa bure kwa wanaume: Oa mwanamke mwenye mtoto ikiwa tu una uhakika baba wa mtoto amekufa

    Yaani nimecheka uwiiiiii mtoa mada yuko sahiii 100% nahisi yamkuta
  8. Y

    Kukosa agenda, migogoro isiyoisha: Upinzani msipokuwa makini, CCM itashinda kwa kishindo 2020

    Mtoa mada huna akili kwani siku zote wapinzani hawashindi? Hiyo Tume itabadilika ni ndani ya chama gani? Au hujui kwann watanzania tunadai katiba mpya?
  9. Y

    Mtoto kufanana na mtalaka wa mke ni kitu cha kawaida

    Msipende kufukunyua ya mkeo ndani ya nyumba mtakufa kwa pressure shukuru unaitwa baba basi. Ha ha ha ha ha
  10. Y

    Mtoto kufanana na mtalaka wa mke ni kitu cha kawaida

    Diamond hana mbegu za uzazi lazima asaidiwe na mwenzio kwan kuna shida msaada tutani
  11. Y

    Mke wangu anunuliwa nguo za ndani na mwanaume

    Acha anunuliwe kwan ushawahi kumpeleka shopping?
  12. Y

    Naongea na nyie baadhi ya wanawake msiokuwa na haya wala staha

    Siku hizi kucheat ni swala la kawaida wanaume wengi hawana nguvu za kiume. Hao wanawake humo ndan vipi au ndio pambo la nyumbaa. Mume au mke akiwa ndani ni wako otherwise kazi ya moyo......
Back
Top Bottom