UCHAMBUZI: Maneno ya matusi yatafanya wimbo wa Ben Pol ufungiwe?

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,075
17,237
Nimeusikiliza huu wimbo kwa mara ya kwanza mida hii, sasa kuna kitu kimenishtua na nadhani inaweza isiwe habari nzuri kwa Ben.

Kuna kipengele
kipo kama kibwagizo kwenye wimbo mpya wa Ben Pol
kinasema
''Tak.o tatu wazungu waah / Tak.o tatu Samatta waah''
-
Kwa ambaye hajaelewa ni hivi:

Tak.o Tatu=Kupump mara tatu
Wazungu=mbegu za kiume

Samatta=bao

It means kwamba kwajinsi demu alivyomkolea basi jamaa akipump mara tatu tu anapiga goli.
..
Je, hauhisi kwamba huu wimbo unaweza kufungiwa endapo hayo matusi wakiyabaini BASATA/TCRA....
-
Maoni yangu;
Nadhani kimefika kipindi kwa serikali kuanza kuruhusu kisheria nyimbo zenye mahadhi ya utupu au wenzetu wanaita EXPLICIT/ DIRTY VERSION.
nadhani itatoa fursa kwa wasanii kutoa ujumbe walioukusudia kwenda kwenye rika fulani walilolilenga, manake sio nyimbo zote zitawalenga wenyeviti wa vitongoji, Nyimbo nyengine unakuta msanii amedhamiria kuburudisha vijana wa aina fulani, sasa tusiforce wala tusiwapangie wanamuziki, maana wao ndio wanajua jinsi ya kuwagusa fans wao.
N.B
Kama haujui utaratibu wa EXPLICIT VERSION /CLEAN VERSION basi ni vema ukafunga bakuli lako au ukaenda kujiongeza kwanza kabla ya kumwaga OMO
 
Kama ni hivyo kutakuwa na shida kidogo ukiplus na picha aliyopost. Amehojiwa leo na Millard alidai inahusiana na kutekwa. Ngoja tu, TIME WILL TELL
 
Umeusikia wapi mkuu
 
Kama ni hivyo kutakuwa na shida kidogo ukiplus na picha aliyopost. Amehojiwa leo na Millard alidai inahusiana na kutekwa. Ngoja tu, TIME WILL TELL
Wacha tuone.. Manake mi ningemshauri kwanza kama ni video basi asishoot kwanza hadi aone wimbo umeruhusiwa
 
Huyu jamaa kaachana na mama watoto wake kutokana na uzinzi so naona dongo Kwa mzazi mwenzake. Ukizingatia mkeo kaenda Kuishi maeneo ya pesa yeye bado anaishi uswahilini mapenzi mubasharaaaaa
 
Unauhakika na unachokisema?
 
Kwenye mahojiano anasema eti mashabiki hatujui maana ya sanaa huyu Ben Shoga, hivi mwanaume kuonyesha msambwanda nayo ni sanaa? Eti rayyoungr una maoni gani?
 
Back
Top Bottom