Recent content by yohanakomaga

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Tanga: Mlemavu wa ngozi abakwa na wanaume wawili

    Hakuna kesi iliyofunguliwa ambayo mlemavu wa ngozi akilalamika kubakwa. Tuambie anaishi Kitongoji, Kijiji, Kata, Tarafa ipi ili taarifa hii ifanyiwe kazi.
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Hili tukio lina ukweli ndani yake au ni kuchafuana tuu?

    Hii picha itakuwa imeeditiwa, mbona sioni kiti walichokalia!
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Mapya ya anaedai kubakwa na kapuya...

    Ama kweli njaa inasumbua watu mpaka umetumwa kumsafisha!
  4. Y

    JamiiForums Tanzania civil case

    Ninatakiwa niandike field report ya hiyo The imposition of sentences in civil cases in Tanzania.
  5. Y

    JamiiForums Tanzania civil case

    Naomba mnifafanulie "The imposition of sentences in civil cases"
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Tukio la ajabu lafanywa na police wa barabarani hapa Lushoto leo asubuhi, wakamata Taxi zote!

    acha kulalamika,hizo taxi zilizokamatwa hazina makosa? Kama wamewabambikia makosa wana haki ya kwenda ngazi za juu.Ungekuwa wewe ni traffic ungefanyaje? Tafakari.
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Walimu wakamatwa na TAKUKURU kwa kula rushwa za Tsh 500!

    kwanini wanafunzi wachelewe? Adhabu siyo tu kuchapwa viboko hata kutoa ngawila kwa kosa ulilolifanya nayo ni adhabu.Pongezi kwa walimu kugundua adhabu mbadala.
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Makahaba Wagonganisha Ma RPC Dar

    hata kama Kenyela amekosea,Kiondo hakutakiwa kuliongelea jambo hilo kwa jamii.
  9. Y

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Afisa wa TAKUKURU auawa

    hiyo hiyo bahati mbaya itampeleka gerezani,RIP Marehemu.
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Jaji wa mahakama kuu Arusha awajibishwe

    judicial immunity.
  11. Y

    JamiiForums Tanzania January Makamba na Henry Shekiffu walinikimbia kwenye mahafali!

    hongera kwa kupata shahada
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Polisi Afukuzwa Kazi kwa Kumbaka Mtuhumiwa wa Kike katika kituo cha polisi

    someni kifungu cha 130 cha kanuni ya adhabu,utaelewa maana ya kubaka.
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Kuchelewa kwa Mishahara ya watumishi wa umma mwezi October 2012

    kuweni wavumilivu maisha bora kwa kila mtz yanakukuja soon
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Dharura, naombeni namba za Polisi Dar

    Polisi jamii na ulinzi shirikishi,sio mpaka awepo askari polisi hata wewe unaweza kumsaidia dada huyo.mtu yeyote ana mamlaka kumkamata mtu mwingine anayefanya uhalifu mbele yake na anatakiwa kumfikisha sehemu husika.
  15. Y

    JamiiForums Tanzania Naomba Kusaidiwa Jibu la Swali Hili Wanajamvi

    aliyeshiba hamkumbuki mwenye njaa.
Back
Top Bottom