Recent content by Yohana Shija Masalu

  1. Yohana Shija Masalu

    Mahusiano ya kimapenzi yananitesa

    Kwamba unampenda sana hilo unajua wewe. Kwamba anakupenda sana wewe hilo hujui. Anayejua ni yeye na Muumba wake. Zama zetu si kama zama za zamani. Kulazimishwa kuolewa au kuoa siku hizi si tena jambo linalojitokeza mara kwa mara. Kama ameamua kukubali atangaze uchumba angali yupamoja na wewe...
  2. Yohana Shija Masalu

    Mizigo na SGR: Muda umefika kuondoa malori barabarani

    Uwepo wa Treni yenye Standard ya Kimataifa ni afya kwa taifa letu. Pongezi kwa serikali kuendeleza maono ya JPM. Ni kwa bahati mbaya sana maadui wa mradi huu ni wengi na ni kwa sababu ya ufinyu wa uelewa. Wanahofia kwamba mabasi na malori ya usafirishaji yatatoweka. Ukweli ni kwamba, katika...
  3. Yohana Shija Masalu

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Mambo mazuri hayataki haraka. Rais anafanya kazi nzuri sana. Usijiingize kwenye ujinga wa wazungu na mabeberu. Wametengeneza kirusi cha korona kwa maslahi ya kiuchumi sasa ona balaa lake. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Yohana Shija Masalu

    Tigo kwa nini mnatufanyia njama za wizi kiasi hiki?

    Afadhali ya tigo. Voda ndiyo usiseme. Wizi mtupu. Hamia Halotel. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Yohana Shija Masalu

    Watanzania ni watu wa ajabu sana!, Wanamwaminije Gwajima kuliko Rais wao?

    Among the thinkers you are in the right and true perspective. We need to see things by critical eyes under the natural light of reason. You are the Great!!!
  6. Yohana Shija Masalu

    Mpambano ya Madawa ya kulevya serikali ipongezwe

    Pongezi na shukrani kwa serikali ya awamu ya tano kwa jitihada zake yakinifu katika kupambana na umilki na utumiaji wa madawa ya kulevya nchini mwetu Tanzania. Ni muhimu kwa kila mwananchi na raia mwenye kunia yaliyomema kuungana na serikali katika hili. Hata hivyo, ni muhimu sasa kwa...
  7. Yohana Shija Masalu

    Watumishi hewa

    Kwa kweli
  8. Yohana Shija Masalu

    Watumishi hewa

    Ubinafsi ni gereza kubwa nchini Tanzania. Ili kutoka katika gereza hili lazima kila mmoja ashiriki kikamilifu.Waajili wamejaa ubinafsi wa hali ya juu sana. Raia wanalia njaa, kukoswa ajira, kumbe wengine wanalipa wafanya kazi hewa. Vijana wengi wenye vigezo vya kazi wanadhurura mitaani kutokana...
  9. Yohana Shija Masalu

    Shabaha ya Maendeleo ya Nchi

    Shabaha ya kufikia maendeleo bora, sahihi na kweli ni dhana ya kila Mtanzania, na yeyote mwenye mapenzi mema na Tanzania. Maendeleo haya ili kuyafikia ni lazima kila mmoja katika umoja ashiriki kikamilifu kwa namna mbalimbali kwa kadiri ya uwezo wake. Kumbe, kujenga nchi si suala la mtu mmoja...
  10. Yohana Shija Masalu

    AJALI: Daladala lagongana na Lori la kubebea Ng'ombe

    Mungu azilaze mahali pema peponi roho za marehemu wote. Amina
  11. Yohana Shija Masalu

    Africans dictated by Africans' fellows

    We had and have been blaming the westerners' yokes over Africans' shoulders. Now we are enslaved by our fellow Africans in the name of politics, economics and religion. Lack of critical understanding and lack of patriotic spirit might be one of the causes!! Burundi, Zimbabwe, Rwanda and Uganda...
Back
Top Bottom