kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,698
- 1,941
Kila nikihamisha uku Kwenye primary disk vinabaki. Vingine naambiwa contact to administrator to permission for deleting or moving this file.. Sielewi apa wakubwa nissidien Nifanyaje.. Vitu vimejaa disk C wakat disk D lipo open