Wachunguzwe kwa kina kuwa nani kawatuma kwani Kama nzi wamepatikana basi wawafuate ili kionekane kinyesi kiliko
Yaani wanaowatuma kutafuta hivyo viungo
Hata tukiwasiliana na nyie ni yaleyale tu hakuna unafuu
Pamoja na kuwa kampuni yenu inapendwa na wengi ila madhaifu yenu ndo ambayo makampuni mengine yatatumia kuwanyang'anya Wateja.
Hapana siyo kama speed imepungua ispokuwa wapinzani wao wamekuwa wengi siyo ndani ya chama wala nje yachama hali kadhalika na wahusika wa huo ufisadi pia kwa hiyo mpaka kuja kulipua bomu lazima wawe wamepata ushahidi wa kutosha.
HATA MIMI SIYO SHAHABIKI WA VYAMA.
Voda nyinyi ni wezi sana na laiti kama hao wahudumu wenu nilioongea nao tar 22 na 23 wangekuwa karibu ningewazaba vibao wanavunga wanajua kumbe hawajui yaani nyie ni wezi nyie ni maescrow kabisa mnatuibia hela zetu makusudi tukiwapigia na vielelezo kamili mnabisha tu acheni hizo hata Sisi tuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.