Recent content by Yohana Marco Komba

  1. Yohana Marco Komba

    Mapenzi si pesa ila pesa huleta mapenzi

    ahahahaha,njoo kwangu dada kuna mapenzi ya kweli ili pesa akuna
  2. Yohana Marco Komba

    Je, Unazijua sifa 10 za mke mwema?

    duuuuh wakuu wa jmf asenteni kwa maoni yenu mana mimi mwenyewe natamani kuoa ata kesho lakini naona ngoja nitulize kichwa kwanza
  3. Yohana Marco Komba

    Ni kisa au mkasa gani uliwahi kufanyiwa na ndugu au mtu wako wa karibu?

    Wakuu Mimi niliachwa na demu baada ya yeye kufika chuo mzumbe akatafuta mwanachuo mwenzake Mimi nikabak solemba mtaani kwangu,,yangu apo nikaona njia bola ya kumsahau ni kufanya kazi kwa bidii kutafuta maokoto
  4. Yohana Marco Komba

    Ni kisa au mkasa gani uliwahi kufanyiwa na ndugu au mtu wako wa karibu?

    Wakuu Mimi niliachwa na demu baada ya yeye kufika chuo mzumbe akatafuta mwanachuo mwenzake Mimi nikabak solemba mtaani kwangu,,yangu apo nikaona njia bola ya kumsahau ni kufanya kazi kwa bidii kutafuta maokoto
  5. Yohana Marco Komba

    Kuna kitu gani ambacho mtu wako wa karibu anakifanya hukipendi lakini unashindwa kumwambia?

    Daaah nakaa Karib na wauni sasa ikifika jion wanavuta bang zao kwenye maskani yao na maskan yenyewe IPO Karin na dirisha langu moshi mwingi unaingia ndani kwangu kuwaambia nashindwa nabak tuu naugulia moyoni
  6. Yohana Marco Komba

    Serikalini tuna Wachumi wasiojua Uchumi?

    Wakuu Mimi ninawazo LA kukomesha ubinafsi unaozaa wizi na ufisadi kwenye hii nchi,,kungepitishwa sheria ya mtu akibainika anaibia serikali kama wanavyo Fanya wakurugenzi wa idala kama tanesco na reli basi azabu yake ataifishwe mari zake zote na kunyongwa azalani..sababu wanaibia serikali...
  7. Yohana Marco Komba

    SoC03 Sitasahau jinsi bangi ilivyonipa ujasiri wa kuwa mwendawazimu

    hellow wakuu , nina story yangu niliyoiandaa mwenyewe ipo kwenye simu nawezaje kuiweka humu? mawazo yenu tafadhari
  8. Yohana Marco Komba

    Sakata la ajira mpya: Ni akili kumshauri msomi ajiajiri kulima na hana hiyo taaluma?

    Duuuuuh atari sana,kama wanataka tujiajiri kwa kulima nyanya na kufuga kuku mbona vyuoni na shuleni wanatufundisha masomo mengi ambayo ayausiani na maisha harisi?ni kupotezeana muda afazari tungefundishwa kitu kimoja kulingana talent ya mtu ili kuepuka ili tatizo
  9. Yohana Marco Komba

    Rushwa kwenye usaili

    Rushwa ipo kweli sio serikalin wala private sector lazima utoe
Back
Top Bottom