Luvanga1
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 2,025
- 1,708
Kuna Interview moja nilienda Moro Kampuni X, tulikua kama 30 ivi tulioitwa Kwenye usahili.... Binafsi nilifika mapema sana eneo ambalo tunafanyiwa Interview kama saa Moja asubh.
Kisanga kilianza hapa, watu tumefika tangu asubh alafu kamekuja kabinti kamoja tena kwa kuchelewa mida ya saa 6 mchana, msimamizi akamwambia akitoka mtu ataingia Yeye... Wtf, nilimaind Sana lile tukio, hata kama kubebana sio lazima mtuonyeshe.
Mpaka nakuja kuingia Mimi ilikua saa 8 mchana.
NB; Na Kazi nikakosa vile vilee
nazani kalipata kale kadada...