Recent content by yohana m

  1. yohana m

    Uzi maalumu: Wanaotumia Kikuu na Jumia kufanya manunuzi mtandaoni

    Pesa hua ni ngumu sana kurudisha yaitaji moyo. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. yohana m

    Msemo wa Ikulu ni Pahala Patakatifu Imetimia

    Nikweli kabisa, toka nianze kujitambua kua na mm ni mfanya biashara sijawahi kuona mtu anaona umhimu wa kutoka kilometres 90 kuifuata ofice ya T.R.A ila kwa utawala wa Mh: mwamba wa Miamba watu wanapanga fuleni bank kama kuna msaada wa pesa..mtu anakumbuka kulipa kodi kuliko kodi ya kupanga...
  3. yohana m

    Edward Lowassa: Ni kweli nitagombea Urais 2020

    Hakuna rais hapo kwa aliyo yafanya Magufuli yeye asingeweza... Sina chana ila Mtazamo wangu.. Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
  4. yohana m

    Tetesi: Wenyeviti/Makatibu wa CCM kujiunga na upinzani, kuungana na Lowassa!

    Leta story za kutafuta pesa ww acha ushamba wa zamani huo ulikua mwisho 2015. Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
  5. yohana m

    Ananiambia naniliu yangu ni ndogo kama kijiti

    Haaaahaaaa jamaa umetisha
  6. yohana m

    Ananiambia naniliu yangu ni ndogo kama kijiti

    Kaak pole sana...tafuta dawa zipo za kuweka sawa unakua na Big pin.. Nawenzetu wanapenda ndefu nene na isimame balabala kama msumali..sasa unakua kibamia halafu legelege hapo balaa hilo utatangazwa mpaka mkoa mwingine.
  7. yohana m

    Vioja vya watoto wadogo (0-5years), tuambie vioja vya mwanao

    Haaaahaaaaaa umenifulahisha sana.
  8. yohana m

    Kumbe ITV ni hata Mwanza?

    Itv ni wasema kweli kwanza mimi kama ikitoka habari yeyote kwenye mitandao ya kijamii nisipo iona Itv najua niauzushi.. Big up Itv.
  9. yohana m

    Naombeni ushauri kwa huyu mwanamke

    Kaka mkubwa huyu tayari hafai maana hapo tu ndo mwanzo mmeoana je!! Ogopa sana mwanamke wa kasumba hiyo sasa huyo mkifunga ndoa na akiwa tayari ni mfanya kazi yaani utaishi maisha kama vile ww ndo umeolewa..
  10. yohana m

    TAHADHARI: Nape na Malima vyombo vya habari msiyalinganishe haya matukio hayafanani

    Uko sahihi mkuu sema wengi hatujaelewa vzr maana taarifa ta awali niliona ikisema kwamba, derever wa Malima alikua ameegesha halafu hashuki wananchi wa eneo hilo walipata wasiwasi nakufikili labda ni majambazi. Njema zaidi muhusika angejitokeza na kutoa ya moyoni.
  11. yohana m

    RC wa Kilimanjaro, Meck Sadiki na Majaji wawili Wajiuzulu. Rais Magufuli aridhia...

    Safi sana viongozi wa busala anatakiwa awe hivyo, kubuluzwa kama umeolewa nayo inakinai.
  12. yohana m

    Natafuta Kazi nisaidieni

    Nitafute kwa no hizo? Ukinipigia leo sipo hewani tumia wtsup pekee maana now nipo nairobi
Back
Top Bottom