gwa myetu
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 4,473
- 4,671
Kinachowacost labda lazima uwe na king'amuz chao tofaut na I T V, kila king'amuz WAo wapo
Hata wenye king'amuzi chao cha Azam bado ikifika saa mbili usiku wanaweka Itv habari
Kinachowacost labda lazima uwe na king'amuz chao tofaut na I T V, kila king'amuz WAo wapo
Anza kufuatilia Taarifa za TBC, hakika utapata jibuNimefuatilia sikupata Jibu ni kwanini watu wanapenda taarifa ya habari ya ITV!
Mkuu hilo nalijua mno... Sikutaka kuitaja Azam two kwa7bu ni wachache sana wenye uwezo wa kumiliki ungo wa Azam. Tunasememea Chanel ambazo ni rahis kuzipata bila gharama... Kwa sasa ITV pekeeSuala ni kwamba ITV ni wa zamani na sio kwamba wabobezi sana..na siku hizi wameshuka kiwango si kama zamani.Tumekaririshwa tu kuwa ITV wapo vzr lakini kwa sasa walioko vizuri ni Azam two.Hii haina ubishi sema watu wengi hawajajua kwa sababu ya mazoea na ITV
Itv ni wasema kweli kwanza mimi kama ikitoka habari yeyote kwenye mitandao ya kijamii nisipo iona Itv najua niauzushi.. Big up Itv.Nimefuatilia sikupata Jibu ni kwanini watu wanapenda taarifa ya habari ya ITV!
ndio tabia ya soko mkuu, rejea vee money vs jay dee kwenye EATV Awards uniliver products vs new productsSuala ni kwamba ITV ni wa zamani na sio kwamba wabobezi sana..na siku hizi wameshuka kiwango si kama zamani.Tumekaririshwa tu kuwa ITV wapo vzr lakini kwa sasa walioko vizuri ni Azam two.Hii haina ubishi sema watu wengi hawajajua kwa sababu ya mazoea na ITV
na madishi ya futi 6 mkuu. mzee Mengi hana choyo Capital, Itv na Eatv amejaa. tukiona wanaolizwa na bando za mwezi sisi wa madishi kimyaaa. tatizo tv na wengineo lazima uwe na ving'amuzi vyao.Unajua lazima iwe hivyo.. Tuanzia saa moja wako channel Ten..moja na nusu wako Clouds na TV 1 ukija saa mbili ndio balaa..unawakuta ITV ..AZAM na Star TV..
ITV inatazamwa zaidi sababu ni kitambo tofauti na Azam ambayo ni wachache wenye visimbusi vyao..Star TV wao wamebezi kanda ya ziwa..kumbuka ITV hata wenye antenna wanapata na ile midishi mikubwa..
Nani kakudanganya kuwa ITV ndio kituo cha kwanza bongo?Ndicho kituo cha kwanza cha TV hapa bongonyika, tulikuanacho, tumekizoea bongo zetu zimekaririshwa kwa kifupi tumekariri,tumeaminishwa kuwa Tv zingine zinatangaza habari za utumbo na ujinga ujinga tu SI KWELI.Taarifa tamu ya habari ipo Azam two aisee.
Suala ni kwamba ITV ni wa zamani na sio kwamba wabobezi sana..na siku hizi wameshuka kiwango si kama zamani.Tumekaririshwa tu kuwa ITV wapo vzr lakini kwa sasa walioko vizuri ni Azam two.Hii haina ubishi sema watu wengi hawajajua kwa sababu ya mazoea na ITV
USHAMBA NI MZIGO SANAImegeuka kuwa TV ya taifa. Nilikuwa mwanza kwa siku 10, nilikuwa nahama hotel na bar kila siku, kila ikifika saa 2 usiku wateja wote wanaomba wawekewe taarifa ya habari ya ITV sio tv nyingine yoyote ile. Nikahamia Ukerewe mambo ni hayohayo. Mawazo yangu nilidhani Mwanza wanaangalia zaidi tv za kwao kumbe sivyo. Big up ITV.
Hata wenye visimbuzi vya Dstv, Azam, continental ikifika saa 2 usiku wateja vijana kwa wazee wanalazimisha wawekewe ITV waangalie taarifa ya habariMkuu hilo nalijua mno... Sikutaka kuitaja Azam two kwa7bu ni wachache sana wenye uwezo wa kumiliki ungo wa Azam. Tunasememea Chanel ambazo ni rahis kuzipata bila gharama... Kwa sasa ITV pekee
Nembo ya star tv ni kijani na njano tuUSHAMBA NI MZIGO SANA
Mtoa post na hisi ulipotoka kijijini kwenu ukaenda dar.sasa imegeuka shida maana kuna wakina nyie mkiwa dar mnakuwa mnadharau wa mikoani. Wakati watu waishio hata asilimia 10%ya total population haifiki.
Nije katika hoja ya msingi ambayo inaonyesha ushamba wako ulipo kushangaa eti mwanza watu wana angalia ITV kuliko star TV ambayo ipo jijini mwanza. Watu wana penda sana ITV hasa kwenye suala la habari kwa maana wana balance habari kwa pande zote sio zile TV ambazo zinaonyesha mzuri tu watu flani..lakini ITV hai bagui kila mtu anaonekana pale.ndio maana ITV ina kuwa super brand umeelewa.star TV ndio ilisha poteza uelekeo muda sana.maana watangaziji wazuri walisha sepa katika TV nyingine kama wakina fredwa, muksin nk .ubora wa watangazaji ndio kivutio kikubwa .hebu angalia watu kama akina spensa lameki,Sam mahela nk .sasa sio kujigiiza.kwani watu wa mikoani hawa jui vitu vizr?
Pili angalia coverage ya ITV kila wilaya ina mtu wa kuripoti ndio maana unakuta inavutia sana kwa big coverage na nje ya nchi.
Pia ubora wa picha ITV iko poa sana
Kingine ni ukongwe ITV ni ya zamani sana.hivyo ina mashabiki wengi.
Mbali na hapo haina mlengo wa kisiasa hata kidogo wote watawala na wapinzani hupewa nafasi.
-ubora wa vipindi kama dk45,malumbano ya hoja,kipima joto ,nk
Japo star nao wana kipindi bomba kama dira ya dunia kiko poa sana chini ya salum kikeke japo ni cha kujiunga lkn kina wang'alisha sana .HATUANGALII TV KWA MAHALI ILIPO TUNA FUATA UBORA NA SIO VINGINEVYO.
Hata ukienda Zanzibar, hvyo hvyo ni ITV tu kwa kwenda mbele.Imegeuka kuwa TV ya taifa. Nilikuwa mwanza kwa siku 10, nilikuwa nahama hotel na bar kila siku, kila ikifika saa 2 usiku wateja wote wanaomba wawekewe taarifa ya habari ya ITV sio tv nyingine yoyote ile. Nikahamia Ukerewe mambo ni hayohayo. Mawazo yangu nilidhani Mwanza wanaangalia zaidi tv za kwao kumbe sivyo. Big up ITV.