Natafuta Kazi nisaidieni

Natafuta Kazi nisaidieni

Screenshot_2017-05-06-11-29-20.png

HV huu utapeli bongo utaisha lini aisee yaani watu wa dizaini hii wanazaliwa kila kukicha.. Tena huyu katokea humu humu
 
Huyo jamaa mbuzi kweli, sasa 20000 si anaomba barabarani kwa siku moja na nusu na anaipata?
Halafu mbadala wake ni wewe kusex naye, kwamba amekukadiria ameona huna 20000 na qumer ndiyo iwe 20k?

Wanaume tunajidhalilisha.
Nami nilimjibu mwanaume mzima unaomba 20000?? Nikamwambia utakuwa una njaa zaidi ya mm naetafuta
 
View attachment 505178
HV huu utapeli bongo utaisha lini aisee yaani watu wa dizaini hii wanazaliwa kila kukicha.. Tena huyu katokea humu humu
Nimeshawahi kusema tena kwamba kwa wadada mnaoomba kaz ni ngumu mkija huku mana wenye nia ya dhati ni wa kuwahesabu, wengi wao ni waroho wa ngono na wenye uchu na miili yenu na wanataka kutumia hio advantage ya kua mnatafuta kazi. Hamna kitu ni bora utafute namna nyingine ama uendelee tu kua na hope kwamba atatkea mwenye nia ya dhati, lakini kwa kwel.hapa ni ngumu.
 
Mkuu nina imani sio wote wenye bad intentions sema ndo ivo inabid tujipe hope kwamba atatokea mwenye nia ya dhat
 
Daaaa pole Bint sasa mwanaume anaye omba 20000 anakazi kweli huyo?mshenzi sana bora angeishia kuomba uchi tungejua ni uchu lakini eti 20000.Mshenzi sana anatuzalilisha
Mm mwenyewe kanishangaza sana
 
View attachment 505178
HV huu utapeli bongo utaisha lini aisee yaani watu wa dizaini hii wanazaliwa kila kukicha.. Tena huyu katokea humu humu

Hebu lianike hadharani hilo tapeli uchwara. Itakuwa anawafanyia hivyo wadada wengi humu wahanga wa ajira.

Muweke wazi hapa tumveshe dera kabisa na ushungi.

Waduwanzi kama huyo ndo wanatudharirisha wanaume hapa JF.

Usipomuanika hapa, nawe umebariki mabinti wenzio wenye shida kama yako humu waendelee kuombwa hiyo buku 20 in mbadala of mbunye.

-Kaveli-
 
Mkuu nahis hata hapo ameshajifunza na unawez mtaja kwa Id hii kumbe ana nyingine so hii ni akili kichwani mwako
 
Hebu lianike hadharani hilo tapeli uchwara. Itakuwa anawafanyia hivyo wadada wengi humu wahanga wa ajira.

Muweke wazi hapa tumveshe dera kabisa na ushungi.

Waduwanzi kama huyo ndo wanatudharirisha wanaume hapa JF.

Usipomuanika hapa, nawe umebariki mabinti wenzio wenye shida kama yako humu waendelee kuombwa hiyo buku 20 in mbadala of mbunye.

-Kaveli-
Now I believe you mkuu, yaani kuna mtu anajifanya yuko serious kusaidia but at the end unagundua ndo walewale, I'm giving up on this post
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom