Recent content by Ynaa

  1. Ynaa

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli TRA wameshaita watu kwenye ORAL INTERVIEW?

    Cut off mbona hazieleweki kuna kozi kama za custom officer cut off NI 85 wakati nyengine zimeenda Hadi 50
  2. Ynaa

    JamiiForums Tanzania Nielekezeni mapishi Bora na ya kuvutia ya miguu ya kuku

    Mie naipenda sana,kuna mama alikuaga anaipika mtaani kwetu yaan ni milaini mitamu anaweka na kapilipili aisee,ugali unashuka hadi raha(Yeye alikua anapika miguu,utumbo na vichwa[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39])
  3. Ynaa

    JamiiForums Tanzania Upungufu wa damu kipindi cha ujauzito (Anaemia in pregnancy)

    Habati soda ya mafuta au Unga? Ipi nzuri?
  4. Ynaa

    JamiiForums Tanzania Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

    Hahaaa,jaman loh
  5. Ynaa

    JamiiForums Tanzania Vijana leo tulonge kidogo,Kwann hampendi matumizi ya kondomu ?

    Zinasababisha sana fangasi na miwasho
  6. Ynaa

    JamiiForums Tanzania Naombeni tiba ya kisaikolojia: Mwenzenu nikipanda ndege huwa nawaza hatari tupu

    Mie huwa ikianza kutua masikio yanauma balaa had kichwa nahisi kinataka bomoka,hako ka hali huwa kananikwaza sana
  7. Ynaa

    JamiiForums Tanzania Ni sanaa na ubunifu tu

    Nzuri sana, nimependa hako kanyumba
  8. Ynaa

    JamiiForums Tanzania Upendo wa Open Kitchen kafunga ndoa. Je, nini kilimpata yule mumewe wa mwanzo?

    Jaman i hope ts not true!! Gelato amekaa kiheshima sana
  9. Ynaa

    JamiiForums Tanzania Unga wa dengu hutumiwa kupikia nini?

    Kilo moja hazidi 3000
  10. Ynaa

    JamiiForums Tanzania Ufahamu mfuko wa uwekezaji UTT

    Nunua treasury bonds,baada ya 6 mnth unapata kuanzia 15%,tena nzuri km ukinunua bond ya 10m,10m,10m ndani ya miezi yote 12,means unawekeza 120m ktk miezi 12,so una uhakika wa kupata 1.5m kila mwezi,na ukichoka unaweza ziuza pia.Hati fungani ndio njia nzuri zaidi ya kupata pesa.Tembelea website...
  11. Ynaa

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Kwanini channel ya ZBC kwenye dish siipati?? Wkt nkitumia antena ipo Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Ynaa

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Cha kushangaza hazifunguki,wkt nimelipia ile package ya 36k kwa mwezi Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Ynaa

    JamiiForums Tanzania Najihisi kuwa na dalili zote za COVID-19. Je, nifanyeje?

    Hiyo limau unasaga na ganda zake au ni ile juice tu unakamulia? Ufafanuzi tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Ynaa

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika makande

    Mmatemwe gani anayependa sembe tena na madagaa loh!! Ungesema mchuzi wa maji na pembe hapo sawa Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Ynaa

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Mkono Wa Chuma

    Kwahiyo ndugu Kileo ndio tuseme umetususia hyo riwaya yako jameni loh? sio vzr hvo toka april tunangoja tu!! Haki hyo personal problem na ikiachie upesi nasie utumalizie hii story
Back
Top Bottom