Khabarini wadau muda huu naandika uzi huu kama nusu iliyopita mpaka sasa umeme umekatika.Nachojiuliza ni kuwa mgao wa umeme umerudi nchini ama nini ? na kama umerudi si wautangazie umma wa watanzania waelewe kinachoendelea.
Hii wanafanya kama siri kwa manufaa ya nani kwa sababu sisi wananchi...
Wadau mimi kuna sehemu nilienda nikakuta kuna watu wamechimba mawe lakini yale mawe ni ya rangi nyeusi ila kikubwa zaidi yanashikana na sumaku .
Je hayo na yenyewe yanaweza kuwa ni aina fulani ya madini ?
Kwa hiyo alipokuwa CCM mlishindwa kuyaibua haya halaf si mna mahakama yenu ya ufisadi na uhujumu uchumi mlishindwa nini kumshitaki.
Alipohama ndo mnaanza kutoa hivi vimaneno vyenu kweli nyie hamnazo.
Si kuna siku jamaa fulan akawa anajisifia pesa sirikalini ipo ya kutosha ?
Hayo mawazo ya kufuta uchaguzi yametoka wapi au mnang'ata na kupuliza kupima upepo ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.